Dr Ally Mshana🇹🇿
Proud Muslim🕌
Clinician💉🩸
proud Daddy ❤
Dar es salaam Flying Doctors
House Call Doctors
Kiwengwa Zanzibar Tanzania
Call Us
0778 600909
Hisia zingine ni nzito sana kiasi cha kutoweza kuelezeka.
Unatabasamu nje huku moyo wako ukipambana kimya kimya.
Si kila maumivu yanahitaji kuelezewa kwa kila mtu.
Wakati mwingine ukimya ndio njia pekee ya kulinda moyo wako.
Introduce your boys to Sports.
Watajifunza kitu kinaitwa Resilience.
Kujua kuna kushinda, kupoteza, na ku bounce back.
Hapa ni eneo muhimu la ku manage hisia na matarajio.✍️✌️🌿
🌎🇨🇻 OFFICIAL: Cape Verde are OUT of the 2026 World Cup.
One of the most emotional, beautiful, proud teams to see in history of this competition.
500k population, a big heart. What a game, what a team.
Sijahubiri INJILI hii muda mrefu lakini ukweli ni kwamba kadri unavyoendelea kuishi na kuona mambo yanayoendelea unagundua kuwa KIZAZI hiki hakiko tayari kwa kitu kinachoitwa NDOA.
Vijana na mabinti hawako tayari kulipa PRICE inayotakiwa kuwa kwenye ndoa japo HARUSI wanazitaka.
Niwape story nyingine ya Nabii AYUBU? 😂
Ukisoma Biblia AYUBU 1:1, Biblia inasema Ayubu alikuwa mkamilifu na mnyoofu. 😎
Unajua kuwa mnyoofu wewe! Mungu alikuwa proud naye sana. Lakini kulikuwa wanoko 😂 wakasema, Mungu huyu unamuona yuko hivyo kwa sababu umempa kila kitu.
Chukua hivyo vitu vyake uone kama bado atakuwa mwaminifu kama unavyosema, Mungu akaona isiwe kesi ngoja tuone
Ghafla utajiri ukaondoka, mali zikapotea, watoto wakafa, na Ayubu akapata maradhi makali ya mwili.
Halafu wale wale Ma snitch wakaanza kusema, Hapana, lazima huyu kuna dhambi kubwa amefanya, Lakini pamoja na yote hayo, Ayubu aliendelea kushikilia imani yake.
Ndipo katika AYUBU 1:21 tunapata maneno haya
“Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana libarikiwe.” 🙏🏾
Guess what 😂 Baada ya kipindi chote cha mateso na maumivu, Mungu alimrudishia Ayubu kila kitu, tena zaidi ya alichokuwa nacho mwanzo. Hapo ni AYUBU 42:10.
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Usikate tamaa katikati ya story yako. Mungu bado hajaandika mwisho wake. ☺️
Nisikie Amen kutoka huku nyuma.
2026 Must-Watch Series (Anticipated) 🍿
1. Mobland – Season 2
2. The Day of the Jackal – Season 2
3. Reacher – Season 4
4. Special Ops: Lioness – Season 3
5. Euphoria – Season 3
6. The Boys – Season 5
7. House of the Dragon – Season 3
8. A Knight of the Seven Kingdoms – Season 2
9. Lanterns – Season 1
10. Daredevil: Born Again – Season 2
11. Bridgerton – Season 4
12. Severance – Season 3
13. Silo – Season 3
14. The Pitt – Season 2
15. Industry – Season 4
16. Outlander – Season 8 (Final)
17. Beef – Season 2
18. Scrubs – Revival / New Season
19. Blade Runner 2099 – Season 1
20. Spider-Noir – Season 1
21. One Piece (Live-Action) – Season 2
22. Monarch: Legacy of Monsters – Season 2
23. Crystal Lake – Season 1
24. Ted Lasso – Season 4
25. Scarpetta – Season 1
26. Rooster – Season 1
27. The Madison – Season 1
28. Marshals – Season 1
29. The Comeback – Season 3
30. Night Manager – Season 2
31. His and Hers – Season 1
32. Wonder Man – Season 1
33. Fallout – Season 2
34. Dexter: Resurrection – Season 1 (or continuation)
35. Star Trek: Starfleet Academy – Season 1
Hebu fikiria.
Unasafiri peke yako katikati ya Jangwa la Sahara, Morocco.
Gari lako linagonga jiwe kubwa, linaharibika vibaya.
Uko umbali wa zaidi ya kilomita 30 mpaka 50 kutoka mji wa karibu.
Hiii ilikuwa ni mwaka 1993 — hakuna simu ya mkononi, hakuna GPS, hakuna msaada unaokuja.
Hivi ndivyo Emile Leray alivyopambana na kifo.
Thread 🧵