MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM KATA YA KIGAMBONI NA UTEKELEZAJI WA ILANI- 26/4/2025
Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kigamboni uliofanyika leo tarehe 26 Aprili 2025.
Ewe mwananchi tarehe 27 mwezi wa 11 ni siku ya kupiga kura.
Wahi mapema katika kituo ulicho jiandikishia ukatimize haki Yako ya msingi. Vituo vitafunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa 10:00 jioni. Msaidie asiye jiweza mfano mlemavu, mzee kufika katika kituo alichonjiandikishia
Idara ya Wanyamapori Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza imefanikiwa kumdhibiti Mamba mkubwa mmoja kwa kumpiga Risasi mapema Machi 26, 2024 ambaye amejeruhi baadhi ya watu waishio kando na ziwa Victoria.
Idara ya Wanyamapori Wilaya ya Ukerewe Mkoani Mwanza imefanikiwa kumdhibiti Mamba mkubwa mmoja kwa kumpiga Risasi mapema Machi 26, 2024 ambaye amejeruhi baadhi ya watu waishio kando na ziwa Victoria.
KIPI NI KISIWA KIKUBWA APA TANZANIA?
JE UNAKIJUA KISIWA CHA UKEREWE?
Kisiwa kikubwa zaidi hapa Tanzania ni kisiwa Cha Ukerewe, kilichopo katika Ziwa Victoria pembezoni Mwa jiji la Mwanza. Ukerewe inakadiliwa kuwa na ukubwa wa takribani kilometa za mraba 530.
Pamoja na kuwa kisiwa pia Kuna visiwa vidogo na vikubwa 38 vinavyo patikana katiwa wilaya ya ukerewe. Karibu kisiwani ukerewe ujifunze na ufahamu zaidi mazuri yanayo patikana katika wilaya ya ukerewe