Hizi Hapa Series Kali Zinazohusu Madawa Ya Kulevya na rates zake as per IMDb.
Ukitaka series hizi na nyingine nyingi kali basi mcheki @MvuviMovies || @ITexpertTz
1. BREAKING BAD (9.5)
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipotoa shukrani za dhati kwa familia yangu ya X kwa support isiyo na kikomo mnayonipa kwenye biashara zangu.
Kuanzia RTs, likes, shares, posts hadi kuweka kwenye WhatsApp Status zenu mchango wenu una thamani kubwa kuliko mnavyoweza kudhani.
💨 NEW PRODUCT 🚨, NEW PRODUCT 🚨
Wale content creator na wafanyabiashara wanaotaka kutangaza kwa kiwango cha juu @Njiwa_Store tumewaletea DJI MIC 2 min genuine kabisa.
Price: 330,000
Delivery tunafanya mikoa yote Tanzania kwa uaminifu mkubwa sana.
📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
https://t.co/v5qsISsiWm