Taxpayer.
AFRICAN POLITICS IS A COLLEGE AND FACTORY FOR BREEDING PEOPLE WHO ARE DEPENDENT, LAZY & THOSE WHO DO NOT BELIEVE IN THEMSELVES AND END UP ON EVENTS.
@MsigwaPeter Hapa ni baada ya akili kufika mwisho wa ukomavu wake na utendaji na matokeo yake ni kuanza kuishi kwa kupewa cha kuongea na kuelekezwa namna ya kufikiri wala haipatizi jina la chawa ila ni akili imestaafu kwa amani, RIP MR MINDSET
@Labella_Mafia95 Unatuharibia unajua kitu ulcho nacho chaweza kuwa kawaida sana lakn mpkeaji ni bonge la Raman
Sasa ile nataka ku screenshot dadakek nakutana na ku.....mba nakuwa mpole tu
@kingnumbo@EduTalkTz Hiv ww unaongea ukiwa nchi gani?
Aliye kuambia hii nchi changa ana mawazo finyu na akil changa
Tuna kila sababu ya kutokukopa maana kwa tulipo tunatoa mpaka kodi ya kichwa richa ya rasilimali na utajir wa tz
@DKwayu0627@Labella_Mafia95 Zungumza usahihi wako usinyoshee watu vidole na kuhukumu ingali nawe nyuma unauchafu kama wao, Mwanaume hatoi hukumu mbali na kuwa sehemu ya suluhu.
Jifunze na elewa ww ni baba kesho
@bunge_tz Kuna muda unaweza kukwepa jambo kwa kheri kabsa ila kwa bahati mbaya hilo jambo likawa linakufuatilia mpaka uliko fichama, Eeee Mungu BABA amua vita hii.