@kasesco_tz Kuna wahuni wakiona plate number huwa wanazama kwenye mfumo wanatafuta madeni..jina la mmiliki..mara kama ina bima ..mara namba ya owner..ili mradi tu vurugu mkuu
@fbuyobe Kila mtu ana picha zake iwe ni za kupost au ziwe zimehifadhiwa akilini. Kupata picha ya kupost huku na kusema waliomkuta humu mitandaoni hawamjui ni ulofa tu. Kuna watu wakisema wapost picha zao za hustling kipindi hicho..yeye atajiona alikua mtoto wa kishua kabisa
@YerickoNyerereT@SimbaSCTanzania Wewe unavotoleaga mfano CHADEMA kama chama kilichopoteza mwelekeo badala ya kukitaja cha UBWABWA NA MAHARAGE huwa unatanguliza maslahi ya taifa au maslahi yako kwanza