@John_Pambalu Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh @DrHmwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.
Mhe Yusuph Mwenda ni Tz kutoka bara aliwahi kuwa Mstahiki Meya kinondoni, diwani kata ya mikocheni sasa ni mteule wa wa Rais Zanzibar Mh @DrHmwinyi kamishina wa kodi na mapato zanzibar ZRA Je? unamjua #NasoroMajidi unamjua msemaji wa ikulu zanzibar acha mapepe Muungano unalipa.

Shaka Hamdu ni Mzanzibar lakini ameteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Morogoro Tanzania Bara (Tanganyika),
Je, Inawezekana kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya nchini Zanzibar?
Comments ziwe fupi fupi tu.
Maisha yamekufundisha nini mpaka sasa?
Me. Maisha yalifundisha kuwa yenyewe ni kama kioo..! ukiyachekea nayenyewe yanacheka🤣
Lakini G kanifundisha nipunguze wema, maana kuomba ni fedhea. Je G ni nani? G ni Gitu dogo raini lakini neno lake moja ni zaidi ya ngumi ya Mandonga👫
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa Ndg Humphrey Polepole akipata maelekezo toka kwa mmoja wa wanufaika wa mradi wa Tasaf aliyefanya vizuri zaidi na kuwa mbunifu kwa kuanzisha miradi ya ufugaji wa kuku wa kienyeji, nguluwe na ujenzi wa nyumba ya kisasa.
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
Pesa imepanda bei utu umeshuka thamani ukweli unapigwa pini ili uwongo uzidi kuenea, je tumaini la kweli ni lipi ..........?
#KumchabwanaNiChazoChaMaharifa
Tena na usiteseke na usiwe mnyonge daima maana utanyongwa kweli..! Tambua wakati na bahati humfikia kila mwanadamu kwa wakati sahii wa Mungu na kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi. kwenye biashara,kwenye uzazi au kwenye mapenzi na mengineyo kikubwa ibada bidii na uzima
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneno yenye utani maana ndipo ukweli ulipojificha, tambua ukweli hauna rangi nzuli bali uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
Dunia bado inazunguka katika muhimili wake ni jambo la muda tu. Ok kuwa makini na maneni ya utani maana ndipo ukweli ulipojificha, maana ukweli hauna rangi nzuli uwongo unavutia kama bustani ya Eden .
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu @SuluhuSamia kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa kwa pamoja tumpe imani Mwenyekiti wetu @SuluhuSamia kwa kumpa kura zote za ndio aendelee kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa. KAZI IENDELEE