Tosa huwaga wamoto sana wakitokea kwa pembeni kwenye haya matokeo ya form six majanja wamebutua one zaidi ya mia tatu😁
Hawa jamaa watengwe wako vyede,Wamepasua vibaya sana.
Nb:Haters watasema AI
It’s hard, maybe even unfair… but I’m grateful this is happening to me here, among you. I’m not alone. Your strength and your love will be my driving force. See you again soon, Anfield ❤️
Ukimtoa @Mudimabiriani ni Mtanzania gani mwingine aliyeko Ughaibuni Anayetangaza fursa za ajira zenye kipato Zilizoko huko kwa watanzania wenzie? Huyu mwamba ni mtu na nusu, anapenda Maendeleo kwa wote, Msikilizeni na mwenye dhamira nafasi na fursa anaziweka wazi bila chenga.
@Mudimabiriani Nilikuwa na kaz DSM nikaacha, nikafanya biashara nikafeli nikakosa hela ya kula nikarudisha mpira kwa kipa hapo DSM, nikatoka nyumbani nikapanga ghetto nikakosa hela ya kula tena nikatafuta passport sahv nipo nje ya nchi as a manager naingiza angalau. Tusikate tamaa
Nilikuwa namiliki BRAND Well Known MUDI MABIRIANI nna migahawa minne 4 Dar es Salaam, na Mwanza mmoja nauza sahani 400 kwa siku Sinza pekee
haikuwa zari 🥹 nikapoteza vyote mpaka nikakosa hela ya kula ya siku biashara nilifunga lakini sikuvunjika moyo nikaanza upya niko Dubai👊🏿
@Mudimabiriani@incrediboss Kaka na sisi watu wa marketing na sales tutapata kweli chochte dubai?? Na tukikosa basi tupate hata kazi za shipping and logistics📌
Life ndugu yangu Biashara nikafunga sema sikurudi nyuma nikapambana nimeanza maisha mapya Dubai
Kuna kupanda na kushuka 🥹
nilipitia kipindi kigumu mpaka nakosa hela ya kula sema sikuacha kuwa karibu na mungu akafanikisha siunajua mungu sio mchoyo ❤️🤲🫶🏾