Angalizo kwa watanzania woote,
Kwanza soma posti niliyoandika kabla ya hii. (posti niliyopin hapo juu)
Pili jua kuwa kila atakachoongea Bashite kwenye hiyo press conference katumwa na huyo mrembua macho… it’s all part of her plan to gain absolute power by gaslighting Tanzanians.
Hii ni njia ya Samia ya kuanza kuwatengeneza watanzania kisaikolojia. Nawarudi kila atakachoongea Bashite kwenye hiyo press katumwa na Samia.
.
Wametengeneza mpaka picha za kuwapa Watanzania ili kuwatengeneza watanzania. Yani kama zile picha za Sugu kitandani au za Lissu na wao wametengeza za Bashite.