Wewe ni malaya mzoefu wa kisiasa, arenโt you?
Umerudi kwakuwa ccm wameuwa, au kwakuwa hukuamini watauwa?
Walianza kuuwa Oktoba 29?
For some of us it, it will take a village to trust clowns like you!
Pole sana!
@ayubu_madenge Ni kwa sababu ya fraud kwenye ushindi. Magoli ya kona huku Gabriel na wenzie wakimzonga kipa!! Arsenal imeharibu lad ladha ya mpira wa miguu. Naungana na timu kubwa kutoipongeza Arsenal
Tafuta hela usiku & mchana
Tafuta hela kwa hasira sana
Huku nje watoto wa kike wanafanyiwa vitu vya ajabu sana sababu ya umaskini
Huku nje vijana wa kiume wanadhalilika sana sababu ya umaskini
Tafuta hela uwaepushe wanao na fedheha, dhihaka na aibu.
#TajiriLaKihaya
PSG vs BAYERN โฆ
Sisi kama Arsenal - tunaangalia huu mpira bila Pressureโฆ
Wapigane watoane damuโฆ tunataka kukutana na Yeyote tu ajeโฆ
Wote bado tunaVisasi naoโฆ
#COYG