SAMATTA APATA WAKALA MPYA
MTANZANIA Mbwana Samatta anayekipiga katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji ameachana na kampuni ya uwakala ya First For Players na kujiunga na Spocs Consultant inayomsimamia Mohamed Salah wa Liverpool.
@mshambuliaji nadhani kitu kimoja kinadumaza sana michezo na maendeleo nchi hii,waandishi nyie mnachochea sana haya kwa kusifia sana. Mara nyingi tunaweka utanzania mbele badala ya ukweli.Mtu akiambiwa ukweli leo anakuwa hajazoea. Haya ni matokeo ya kuzoea kudanganywa.