Upo kwenye Mkataba na mwenzako, unafanya matendo yanayosababisha mwenzako ashindwe kutimiza Masharti ya Mkataba pengine anatimiza lakini kwa kuchelewa, *hautaruhusiwa kulalamika kwamba mwenzako amekiuka Masharti ya Mkataba. Wewe ndio chanzo.✍🏽
MD, Mendez (M.C.A)
12/06/2026
@swahilitimes Anaiomba mahakama ya rufaa kwenye press, naamini kuna utaratibu rasmi wa kufanya maombi haya!..alafu suala la ukumbi ni la kuombwa mahakama ya rufaa au msajiri?
An African man was seated next to a racist Chinese passenger on a train in China. The Chinese man immediately covered his nose, openly implying that the African smelled bad.
The African man responded by doing exactly the same thing. Even after the Chinese man stopped, the African refused to let peace reign and kept mirroring the offensive gesture.
@kapeto98 😂😂pengine private sectors Ndiyo wanaozimgatia vyuo kwa sasa, gvt hasa tume ya utumishi wa umma na mahakama faulu written na oral exam Ndiyo wakuzingatie..wale watu hawaangalii umesoma chuo gani hata GPA wanachoangalia umefaulu test zao!..ile transcript hawaitaki kwanza😀!!..