Some people will never understand how deeply you care, because you stay calm instead of begging,
silent instead of forcing,
and loyal even when youโre hurt. ๐
#TANZANIA: ASKOFU AHUZUNISHWA NA MAUAJI KWENYE UCHAGUZI
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema matukio ya mauaji yaliyotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia heshima iliyojengeka kwa miaka mingi iliyopita.
ZAIDI: https://t.co/1FPORubaKo
Kadiri unavyozeeka ndivyo unavyogundua jinsi maisha yalivyo ya thamani. Huna hamu ya mchezo wa kuigiza, migogoro au mafadhaiko. Unataka tu marafiki wazuri, nyumba ya starehe, chakula mezani, na watu wanaokufurahisha. Tupendane Maisha ni mafupi! โค๏ธ
Ukubwa ni kukubali kwamba watu huondoka, mioyo huvunjwa, urafiki hufa, mapenzi hutoweka, kumbukumbu hupotea na maisha husonga mbele kwa tabasamu feki na majeraha moyoni!