Tujifunze kitu hapa!!
Kwenye haya maisha unapofanikiwa
(Unapo-Win a goal) mtu wa kwanza ku-celebrate naye hakikisha ni mke wako au baby mama wako au mpenzi wako!!
Big lesson from JDC& Lopes❤️
Sehemu ya pili ya HISTORIA YA RUSHWA YA VITOL NA USHIRIKA WAKE NA AMEIR NAHDI, MMILIKI WA OILCOM-TANZANIA.
Kwa mtazamo wa kijasusi na biashara, kazi ya Namaro inaweza kuwa ni kuwasilisha ofa za Vitol, kurahisisha mawasiliano, au kutoa "ushawishi" kwa maafisa wa TPDC. Kwa kuzingatia historia ya Vitol, "ushawishi" mara nyingi ulimaanisha rushwa.
Mnyororo unakamilika kabisa na kufanana na mifumo ya Brazil na Mexico:
· Vitol (mtoa rushwa) → Wakala wake wa Tanzania (Namaro) → Shirika la Serikali (TPDC).
· Ili kukinga mgongo kwenye siasa na diplomasia, mshirika mkuu wa Vitol (Amer Nahdi) anakuwa na hadhi ya kidiplomasia ya Kazakhstan nchi ambayo Vitol tayari inachunguzwa kuhusiana na rushwa.
Kwa ushahidi huu, unadhani Tanzania tuko salama kiasi gani?
Huyu mzee mwenye Oilcom, ambaye ni mmiliki wa NAMARO, ambaye leo ni Balozi wa heshima wa Kazakhstan ni ushahidi wa kutosha wa kwamba kwenye Mfumo wa utafutaji na usambazaji wa mafuta kuna tatizo kubwa.
Ile sh 544 tunayopigwa kwenye kila lita unazidi kuifanya kashfa yao Rushwa izidi kuota mizizi.
KWA UPANDE WETU, HAWA VITOL, OILCOM, SAMIA NA ABDUL WANAKULA CHUNGU KIMOJA.
Jioni hii, ibada fupi ya kumwombea marehemu Suez Dani Maradufu imefanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, kabla ya mwili wake kuondoka na kuanza safari kuelekea Tarime, mkoani Mara, kwa ajili ya maandalizi ya mazishi.
Sentence gani ilikua inakufurahisha zaidi pale shuleni!
1. Tunafunga shule mpaka tarehe 24 ya mwezi ujao
2. Kama unajijua hujalipa Ada beba kilichokua chako uende nyumbani.
3. (kwenye chumba cha mtihani) saidianeni wenyewe, peaneni majibu Ila msipige kelele
Wakati tukiendelea na mjadala wa UFISADI KATIKA UAGIZAJI NA USAMBAZAJI WA MAFUTA ambapo kwenye kila lita moja ya Mafuta Samia na Abduli wanashukua sh 544 Tsh, hebu tujikumbushe kidogo juu ya yaliyojiri huko nyuma.
Baada ya uchafuzi na mauaji ya October 29, Samia na genge lake wanafanya jitihada kubwa kuficha ukweli kwenye uso wa dunia.
Wanatumia mamilioni ya fedha za UMMA kuwalipa ma lobbyist huko kwenye corridor za akina " who are you" ili kuficha ukweli.
1.Ervis Graves film wamelipwa Bilioni 1.9 Tsh kwa Mwaka mmoja.
2.Brownstein Hyatt Farber Schreck wamelipwa Bilioni 2.9 Tsh kwa miaka miwili.
3.BGR group wamelipwa Bilioni 7.92Tsh
Jumla ni Billioni 12.67 Tsh.
Hizi fedha ni nyingi sana kwa nchi inayoomba misaada hata ya kujenga vyoo, huduma mbovu za afya, Elimu duni na miundombinu isiyoridhisha.
Hizi fedha wanazitoa kwenye mfuko gani?,nani anayeziidhinisha?
Si walisema waandamanaji ndo walibeba silaha na kuua?
Sasa wao hizi shida wanajipa za nini?
Wasiwaone watanganyika ni wajinga, wasidhani dunia ilifunga macho wakati matukio yanaendelea.
Ukweli ule utaishi na kila mtu atawajibika sawasawa na matendo yake.
Kuna mda tunapitia nyakati ngumu, unakua na njaa na huna hamu ya kula. Ila tunavuka kwa upendo wake Mungu.
Leo tena kama jana bila kuchoka. Good morning X Fam.
Mimi sio nabii wala mtume, ila kwa haya yanayoendelea kwenye hii nchi yanatupeleka pabaya. Siku hizi uhai wa mtu umekua hauna thamani kisa tuu itikadi tofauti, kwanini binadamu tunachukuliana nafsi zetu kwasababu ya kupishana itikadi. Mungu amlaze mahali pema peponi Amen 🙏
Kama Congo atafanikiwa kumfunga England, hata kwa kumuotea tu!
Africa tutakuwa tumeSet standard moja kubwa sana na dunia itaotolea macho Africa.
Kumfunga Muingereza inapotoka EPL ni umeifunga taasisi kubwa ya soka duniani!!