Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwenu wateja wetu wa @AmaliUltimate
Ahsanteni kwa kuendelea kuwa nasi, kwa kuichagua #FreshnoBrand daima.
Katika kuadhimisha Wiki hii ya Huduma kwa Wateja tungependa kuzawadia… https://t.co/cU0waoeHUl
Hakika #NyumbaNiChoo lakini Choo pasipo kuwa na Sabuni ya kunawia mikono bado hakijakamilika.
Na ndio maana sisi kama @AmaliUltimate kwa kuwajali Watanzania na Afya zao tumeamua… https://t.co/H8GSRMKnRT
Asanteni sana wateja wetu kwa kutuunga mkono kwa kununua Bidhaa zetu. .
Wakazi wa Goba na maeneo ya karibu tumewasogezea karibu Bidhaa zenu pendwa za @AmaliUltimate Hand Wash Soaps… https://t.co/hfWesh2x7u
KUTOKA KUWA MUUGUZI MPAKA KUWA MJASIRIAMALI
Haikuwa jambo jepesi, kutoka kwenye Ajira mpaka kuwa Mjasiriamali, ila msukumo uliopo ndani yangu pamoja na changamoto za kuajiriwa… https://t.co/pYzQjg7mlj
Hello!
Dear friends, please vote for me as a Startupper of the Year by Total.
It only takes FIVE SECONDS to vote for me.
Click rhe link in my BIO and press the "Like My Project" (as… https://t.co/LWlgtzLl1S
Need a health boost?
Lemongrass tea does more than just making you feel good from within.
Take another healthy step forward, choose to have herbal lemongrass tea which is free… https://t.co/SHB6r9ithI
Unaweza ukawa umeamka na uchovu mwingi sana, lakini kwa kunywa kikombe kimoja tu cha #Freshno#MchaichaiTea aaha kukakufanya uondokane na uchovu wote uliokuwa nao na kuifanya siku yako… https://t.co/v40rDzz6gt
Utumiaji wa Chai ya #Mchaichai utakusaidia katika umeng’enyaji wa chakula.
Tumia kikombe kimoja cha #FreshnoMchaichaiTea kila siku kabla hujala chochote ili ikusaidie katika mmeng'enyo… https://t.co/jEmC6dPBE3
Lemongrass Tea is the perfect tea to help your body get rid of toxins and excess fats.
Make sure to use our #Freshno Lemongrass tea every morning to keep your body… https://t.co/YxhW9JLm2o
📌 #FURSA Ya kuwa #Wakala Wa Bidhaa Zetu
@AmaliUltimate inapenda kutoa Fursa kwa mtu yeyote toka Mkoa wowote kuwa Wakala wa Bidhaa zetu za #FreshnoMchaichaiTea
Wakala atauziwa kwa… https://t.co/QRlAqanpWt
📌 #MediaCoverage from @MwananchiNews
Shukrani za dhati ziufikie Uongozi mzima wa Gazeti @MwananchiNews kwa kuweza kutuona na kubaini jitihada zetu zinazoendeshwa na Mwanzilishi wetu… https://t.co/BwylYDu1yl
📌 SWIPE LEFT
Enjoy our #Freshno pure ground #LemongrassTea from your very own @amaliultimate
The product has lots of healthy benefits with no added preservative on it but moreover… https://t.co/ECh5jSBbUU
Thank you forbes.ea for the recognition and nomination to the Forbes EA Awards.
Dear friends we request you to visit forbes.ea and help us to Like, Comment and share this post so as to… https://t.co/vSB89xYvvM
#GlobalHandwashingDay
Each year more than 1Million children die due to diarrhea.
This is one of the reasons we as @amaliultimate company decided to come up with #Freshno Liquid Hand… https://t.co/s1BEnbAuK6
📌 #ALERT Super #Discount
Tukiwa tunaendelea kuadhimisha "GLOBAL HANDWASHING DAY" tumeamua kutoa punguzo la hadi asilimia 50% kwa Bidhaa zetu zote za FRESHNO HANDWASH SOAPS.
Karibu… https://t.co/dnEDHU2fnr
GLOBAL HAND WASHING DAY
Kila siku inatupasa tunawe mikono yetu kwa maji safi na sabuni, lakini tarehe 15 Oktoba kila mwaka ni siku ambayo tunaadhimisha, kuhamasisha zaidi na kuimiza… https://t.co/JD4PrD4JkA
Did you know that washing your hands with liquid hand wash soap is more hygienically than just washing them with water only?
.
I bet you never knew about that.
Now get your… https://t.co/g3BfuGLGz7