Nilikua naumia sana pindi ninapokataliwa mpaka siku nilipolielewa hili...
Kila Hapana niliyokuwa napewa kwenye michongo, biashara au mahusiano ilinifanya nijione sifai. Lakini mchezo ulibadilika kabisa nilipogundua siri moja kubwa sana kuhusu rejection.
Kuna kanuni moja ya kisaikolojia ambayo ukianza kuitumia leo, hofu ya kukataliwa itapotea kabisa na utaanza kuona fursa kwenye kila kikwazo.
Shuka nayo tujifunze๐งต๐๐พ
After kujihakikisha kama ana akili timamu inabidi ucheck kama;
1. Anaalign na mipango yako
2. Anakuheshimu
3. Anakusikiliza
4. Anakuelewa
5. Anajali mambo yenu
6. Anakuchagua kwenye kila hali
7. Ego na kiburi havitumii kabisa kwako
Majibu baki nayo yakusaidie kuamua hatma yenu.
My solemn request to President Samia is admission of deaths and honest condolences to the families, justice and accountability and political and security sector reforms. https://t.co/CZjbK5tO6n
29th Oct 2029
ย
0800 HRS-1000 HRS EAT
Kuanzia saa mbili mpaka saa nne asubuhi hali ni tulivu
Kuna muitikio mdogo sana katika vituo vya kupigia kura kote nchini ambao haujawahi kushuhudiwa hata mara moja
Watu wamesusia uchaguzi
Ni wazi kuwa No Reform No Election imepata supporters