@kishoka_@PapiiKhan98 Mkuu sina neno
Nina ushuuda huo, tumekuwa raised nyumbani kuna pesa everything kipo undercontrol maisha smooth for some how.
Ghafla mambo ya mzee yakaanza kwenda ndivyo sivyo.
Trust me hayajawahi kukaa sawa mpaka leo.๐๐๐