Siku ya WATANGANYIKA KUKOMBOA NCHI YETU NI LEO.
Leo ni 40 ya Ndugu zetu waliouliwa kikatili na POLISI na vyombo vya usalama wakidai TANGANYIKA kuwa huru tena #MO29
Muda wa kuidai TANGANYIKA yetu kuwa huru tena kutoka mikononi mwa WAKOLONI WEUSU NI LEO. #D9
REPOST 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#TupoWengi
#TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
@Cutyhusnah@Calvin_Mmarytz Kumbe wewe n mwanamke ...sishngai mna roh mbaya sana wewe unathmini mali kulikk uhai je unawaz wangapi wamepoteza fmilia zao hv umewah kufiwa hata n mtu wako wa karib wewe .....sio kila swala la kuleta mtandaoni utapata laana bure tu za watu hasa kipindi hiki cha majonzii...