JULIUS MALEMA Na KIFUNGO CHA MIAKA 5? KULIKONI? Alifyatua risasi ya juu ya furaha "celebratory fire" katika mkutano wa hadhara 2018. Kisheria ni kosa la jinai kwani unaweza kuhatarisha usalama wa raia. Kiuhalisia inategemea ni kama fataki. Kikundi cha kutetea haki za Makaburu cha AFRIFORUM kilimshitaki. Sasa amehukumiwa kifungo cha miaka 5 ila amekata rufaa. Amedhaminiwa. Ushauri wangu ni kuwa busara itumike kuepusha vurugu za hukumu ya ZUMA ya 2021 iliyosababisha vifo zaidi ya 300 baada ya polisi kuzidiwa na waandamanaji walioumizana wao kwa wao. Afrika ya kusini ni nchi iliyojengwa na Mandela kwa misingi ya kutubu, kusameheana na maridhiano (Truth and Reconciliation) ili kutoa nafasi kwa utawala wa sheria kustawi kwa wote. Mandela alifanikiwa. Je Rais Ramaphosa ataweza kuliona hili mapema? Huwezi kusema jinai za makaburu za mauaji zinasameheka lakini jinai ya furaha ya Malema hapana. Ushauri wangu ni kwamba inatosha Malema akiomba radhina elimu kutolewa kuhusu itifaki za vifaa vya moto katika sherehe. Hata fireworks zinahitaji vibali.
Ahsante sana kwa kuandika hili maana hata mimi nimeona kama Chadema wameanza kuingia mtego wa maridhiano na hawa wauwaji ili Lissu atoke ndani.
Yani Chadema kama vile wameanza kuwa normalize CCM na uuaji wao kwa kuwapa matuamaini ya kufanya nao maridhiano.
It’s seems now Chadema wanataka Lissu atoke ndani kwa cost yoyote ile hata kufanya maridhiano na wauwaji, which is unacceptable kwa Watanzania, itakuwa ni betrayal kubwa kwa Watanzania zaidi ya ile ya Lowassa.
CCM kwa mara nyingine wanacheza mchezo wa ku buy time mpaka 2030 na Chadema almost kama wanataka ku play along for the sake of Lissu’s freedom.
So itakuwa kwamba Vifo vya Watanzania vya October 29 haki iliyopatikana ni Lissu kutoka ndani na Chadema kuruhusiwa kufanya siasa?????? Kweli????
Hapana aiseee Chadema needs to stand their ground na sio kufanya maridhiano na Samia Suluhu, watatuumiza mnoo.
Hata hiyo Chadema kushinda kesi kama alivyosema Kihongozi juzi kuwa CCM ndio imefanya washinde kesi, ni kweli. Kimama ndio kaamua waachiwe wafanye siasi ili wamsafishe kwa kukaa nae mezani. Wakikaa nae mezani tu basi wamem legitimize kama Rais wa Tanzania.
CHADEMA WAKIKAA MEZANI NA SAMIA MAANA YAKE NI WANAMTAMBUA KAMA RAIS WA TANZANIA!! NA WANAUTAMBUA UCHAGUZI WA 2025z HAKUNA KUPEPESA MACHO KWENYE HILI!!!!!!!!!!
Wakati mwingine huwa namwona Anthony Mtaka kama mbegu nzuri iliyoanguka kwenye udongo mbaya.
Jamaa ni leadership material fulani hivi ambayo haiendani kabisa na system anayoiwakilisha.
Baada ya ile massacre ya Oct 29, nadhani ni Mtaka pekee aliyekiri magnitude ya ushenzi wa dola na kutoa chozi hadharani.
Sijui ilikuwaje akawa sehemu ya utawala wa kishetani kama huu!
iPhone 14
128GB 🔋100%
Blue Color
Tsh 850,000/= tzs
NB:Mikoani tunatuma malipo
Baada ya kupokea
Free Charge, Cover & Protector 📖
Exchange & Top up allowed
📞/Whatsapp 0683678977
KINDLY REPOST 🌺🌷💕
Bado ninawashangaa sana watu ambao bado wanaamini yaliyofanyika Oct. 29th yalifanywa na watu ambao sio watanzania!
Mtu anasema hakuna askari wa kitanzania anayeweza kwenda kuwamiminia risasi vijana wanaotazama mpira kibanda umiza!!
Kwani waliompiga risasi TAL hawakuwa wanatokea Tanzania?
Waliomteka na kumuua mzee kibao hawakuwa watanzania?
Waliomteka Sativa,Mdude,Mkato sio watanzania!??
Aliyempiga bomu Mwangosi hakuwa askari mtanzania?
Aliyempiga risasi AQuelina hakuwa askari wa kitanzania?
Kwanini mnajizima data na kujisahaulisha kuwa haya mambo hawajaanza kuyafanya october 29!!