Rafiki yangu afya yake ilibadirika ndani ya siku mbili mwili wake akawa anatetemeka jana amepima kapewa dozi ila kingine ameambiwa aache kunywa juice hasa zile energy kaambiwa asinywe tena.
Wakuu kunatabia mbovu mmezianzisha mtaani mm kama LIBRO STIMA sipendezewi nazo kwanini mmeanza kutegea na kuwa wavivu kulomba singo maza mtaani hili jukumu la kuwatembezea mjegeje mmeniacha peke yangu acheni ufala hii cake ya singo maza ni kubwa tujumuike pa1