@MarekaMalili Bora awe na TVS wakati mwingine anakula vichwa ila iyo starlet ataacha ndala vigari vichakua vya zamani sana mtu gari toka mwaka 1998 hadi leo umri wa mtu kabisa
@MP_Soldier9 ukiwa na m7 at least unaanza pakubwa mi mwenyewe naiwazia sana iyo biashara Kuanza sema mtaji tu kuna jamaa walioanza had leo wapo mbali mana ukienda maduka yao yameshona spair alafu kuna gereji nje ameweka pia vinywaji baridi ukiwa unasubiri chombo inafanyiwa service upozakoo