Miaka 8 iliyopita tulikua kwenye project moja na wenzangu wanne - hivyo tulikua watano.
Wakati tunaendelea, mdada mmoja alinambia.
'GABBY NIAZIME ELFU 50'
nikamjibu 'NITAKUPA' ila sasa wewe siunayo pesa, akajibu NDIO NINAYO ILA INA MIPANGO'.
Binafsi sikumpa, alimaindi sana.
JAMES SAMWELI anatangaza mpira kiushabiki san
Akionesha mapenzi yake ya wazi kwa SIMBA
Juzi yanga kafunga goli akatangaza tu kwa kawaida lakin MPANZU alivyofunga goli alikua na maneno mengi hadi kero
Alitumia maneno ya kiushabiki kama KUBONDA na KUNYONGA mara namba34
Jamaa🚮
Kuna nyakati Mapenzi yataisha na itahitajika FEDHA tu Kuya fanya hayo Mahusiano ya survivor .
Ukiwa kama kichwa cha familia na muwakilishi wa Mungu baba,Kazi ni Moja Tu"jaza Mifuko yako Kadri uwezavyo,Ongeza dhamani yako ,Boresha mamlaka yako.
Asubuhi ya leo nimekutana na mdogo wangu Jay Maandazi🔥🔥
Mdogo wetu anaendelea na mapambano sasa hv yuko na usafiri kabisa mtaa kwa mtaa wananchi wale maandazi
~Biashara yako ndio kazi yako iheshimu.
📍Morogoro manispaa
Kwa oder za vitafunwa pia waweza kutucheki Jay mandazi🥰