Nyakati ngumu hazipo kwaajili ya Maombi au kusali tu,Nyakati ngumu zinakuja kuinua uwezo wako wa kuchukua HATUA kwa uthabiti na usahihi wa Mawazo yako.
Kila mtu anapitishwa kwa kipimo ch a utayari wake,Na hakuna anayepitia zaidi ya mwingine kwa kila mtu kiasi chake
Fact.
Unaweza kufanya zaidi ya hapo.
Unaweza kuanza Tena.
Unaweza kurejesha tena Mamlaka yako.
-Vyote vinaanza katia Mtazamo na uthubutu wa kuchukua Hatua.
AMUA.