Daima uwe tayari kuishi peke yako. Baadhi ya watu hubadilika ghafla."
Leo, wewe ni muhimu kwao. Kesho, hutakuwa kitu kwao.
Hiyo ndiyo hali halisi ya maisha.
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye.
Yeremia 29: 11
Good morning
Siku spain na argentina na ufaransa wakistahafu kucheza kombe la dunia brazil anaweza fika popote labda, kwa kile kikosi hawezi fika hata 16 bora๐๐
Mungu Mkubwa, Hatuna Kitu Lakini Tumeamka Salaama Hivyo Uhai Kwetu Ni Jambo La Msingi Sana Kuliko Kitu Kingine
Kwa Sababu Kuna Watu Wana kila Kitu Lakini Wapo Mahali Wanapigania Uhai Wao.
Good morning ladies and gentlemen ๐๐พ
Anza siku yako kwa shukrani na imani. Mungu hufungua milango ambayo hakuna mwanadamu anayeweza kufunga. Endelea kufanya mema, kuwa na subira, na kuamini kuwa wakati wako wa mafanikio utafika.
Good morning friends