Flop💔..
Wachezaji wengi wa kigeni huwa wanakuja kuishia hapa hata kama alikuja wa moto vipi, unajua kwanini?
Lifestyle la Tanzania, plus umungu mtu ambao huwa tunamsifia player na kumpamba , followers wengi , wanawake na starehe, ndio huwamaliza kabisa, ni kuzurura tu, Bata sana, mashisha,.. 💔🙌