Low grade chronic Inflammation goes on in your body without your notice is dangerous.... Here is what you should do ...
>>Read more
https://t.co/owv6rOeOzw
Samia,wabunge wa ccm ndio wanastahili kuwa gereza ukonga kwa uhaini wa kuiba kura,kumbaka demokrasia,na sio mhe lissu. Askofu bangonza, ni moja wa viongozi ambao bado wanasimama katika haki&ukweli. Mkuu wa kkkt malasusa ameuza roho yake kwa setani samia,kkkt imekuwa pango la 👿
Majitu ka samia,nchimbi,mwigulu yaliosimba ndio yanaongopa mabadiliko. Mnyonge anataka haki,hawezi kubali mambo iende hivi hivi,mnyonge lazima Adai changes,hana cha kupoteza. 7 7 zote tunatoka,bado siku 7 pekee. Nasikia macccm yanataka kukata umeme,kateni tu,7 7 iko pale pale.
Kuandamana au kutokuandamana hakutategemea Samia ameamkaje, sio hisani.
Wananchi wakiamua kuandamana, apende asipende, hii ni haki inayolindwa kikatiba.
Polisi Tanzania kazi yao kubwa ni kulinda sio kutisha Raia...
Kama hawataki kulinda wabaki nyumbani, hii aizuii maandamano kuendelea.
Wapendwa,
Ukikamatwa na Polisi kwa kosa lolote lile, ukipewa dhamana na kutakiwa kwenda kuripoti kwa usalama wako hakikisha unaenda na Kijiji, Usiende peke yako kama unajiweza basi omba Mawakili wakusindikize.
Kuna watu wengi sana ambao wamepotelea kwenye vituo vya Polisi, walienda kuripoti lakin mpaka sasa hawajawai kurudi.
Vijana wa BAVICHA wa Mkoa wa Iringa ni case study lakin pia hata Mdogo angu @DEUSDEDITHSOKA aliitwa Polisi na aliyekuwa OCCID wa Temeke Mohamed Milambo, akaitikia wito mpaka leo hatujawai kumuona tena huu unaenda Mwaka wa pili.😭
We launched initiative to provide free health check at Afya House in Kigamboni. This is our efforts to support GoT effort of Universal Health Coverage.... Call and share with friends
We launched initiative to provide free health check at Afya House in Kigamboni. This is our efforts to support GoT effort of Universal Health Coverage.... Call and share with friends