Ambaye haamini UKIMWI unaweza kupona kwa maombi, wiki ijayo twende Mlimani, hakuna kula wala kunywa siku 7 tu tutashuka siku ya 8. Ukitoka huko utaamini hakuna ugonjwa ambao hauwezi kupona kwa Mungu.
@Ibrah_Sheby@JOH_MCI@JMariotz Kuna siku kulikua na el classico alafu Chelsea akawa anacheza na Liver pia Simba na Dodoma jiji nadhani imagine mechi ya Simba ilikua na attention kuliko hizo zingine na ilivyoisha tu watu zaid ya 70% wakaamka wakasepa