JE! WAJUA MADHARA YA UNENE KWA MWANAUME?
changamoto ya unene au uzito uliopitiliza imekuwa kubwa sana katika jamii yetu na imefanya kupelekea changamoto mbalimbali hasa kwa wanaume.
shuka na uzi huu ujue madhara ya unene kwa mwanaume๐๐
YAMMY TZ๐ฅ
Jina lake halisi la nida ni YASIRUN YASIN SHABAN ,ambaye alizaliwa mei 20 ,2002(kitoto Cha 2000) ... Alizaliwa jijini Tanga na kukulia DAR ES SALAAM ama dasilamu (mtoto wa mjini kabisa huyu )...
Nakushushia Uzi wa namna alivyochipua na kupata mafanikio yake ๐๐๐