@Kimuzi_ Hii si ufala ni ukweli... si pia kuna wenye wanasema 2022 watavote kupunish kina njoro. Punishment wanaapitia ni hawana space ya kueka gas na matanks wamepewa.
Mm napewa 200 naambiwa tuko kwa serikali umbwa mimi naa wenzangu kama mimi. Gava inajua mafala na werevu
@Osama_otero Adi wazazi walikua wanajuaa io ni punishment manzee..
Mm mzae wangu alikua ananilazimisha na supu ya orenge ya ngombe za wamasaai nahara ajab. Sai supu nakunywa ni maji ya chumvi ni mbayaa
Be thankful for the small achievements in your life.
Don't live another person's life.
Run your race. It is fulfilling.
Be patient. Your reward will come.
@StandardKenya Adi mm mzeee. King Choge will be forever goated uyo msee mwingne adi sjui mwenye alikua before yy ni nan bana.
I'd even choose Duale over that Fella