Kama kufanikiwa ingekuwaga ni rahisi basi kila mtu angefanikiwa.
Ili ufanikiwe
1. Kuna tabia lazima uzijenge
2. Kuna mifumo lazima uiishi
3. Kuna changes lazima uzifanye
4. Kuna mambo lazima uyaaache
5. Na kuna watu lazima uwaache
LOCK IN.
@Mulastar255 Hii sio sawa kabisa assume huyu ndo dada yako anadhalilishwa hivi binti anaharibiwa future hivi hivi leo ni sawa mnafurahi ila kesho binti atakuwa mwenyewe analia