https://t.co/n8z0sTpu8b
Unaweza Kudhamini nakala za rhapsodi ya Uhakika toleo la Vijana (TeeVo) kupitia ukurasa wetu wa kampeni ulioko kwenye jukwaa la GoFundMe... Tafadhali bofya link hapo juu ili uweze kushiriki!
Mungu akubariki sana.
#teenagers#teevo#rhapsodyofrealities
@kuhustle good afternoon Kuhustle, Kindly let me know how to pay for a subscription for those with phone numbers outside kenya but within the east africa block!
@Gloryjobeg@EduTalkTz@SuluhuSamia Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa na sio kwa sababu Mungu amewaacha waangamie.
Soma zaburi ya 82, utapata jibu la swali lako!
Blessed are the people, whose Pastor is Rev Dr. Chris Oyakhilome….He installs and instills a mindset that beggars the reasoning of this age, even this world!!
#undauntedcomposure
When you stand in front of the mirror, look at yourself and say, "I know who I am; greater is He that is in me than he that is in the world. My life is for the glory of God because Christ lives in me." Be established in these truths. Hallelujah!
#RhapsodyApril18
Listen to the most recent episode of my podcast: Msingi wa Imani ya Kikristo https://t.co/59uMjIsdBx
Kristo ndani Yako ndio summary halisi ya ni nini maana ya Ukristo.
#ukristo#christianity#wokovu#uzima#ushindi#salvation
Hmmm People might not be able to handle this one🔥🔥🔥🔥
🟥If God showed up in your room and tells you you're dying today, As a Christian you can tell him NOT TODAY.
-Pastor Chris
AS CHRISTIANS WE CAN DECIDE IF TO DIE OR NOT‼️‼️
@leojosur@IAMartin_ tutaweza kuendesha miradi kitaifa na kikanda kwa fedha zetu wenyewe, tutaweza kusisimua ujasiriamali kwa viwango ambavyo hatujawahi kudhani inawezekana. Wigo wa kukusanya mapato utaongezeka kwa viwango vikubwa mno, uthubutu wa watu wetu kuanzia viwanda utanawiri kupita maelezo.
@leojosur@IAMartin_ Fedha yetu ikipanda thamani kwa sababu ya sera rafiki za umilikishaji wa rasilimali zetu kama madini (mfano dhahabu na mengineyo) kwa wazawa, benki zetu za kibiashara na taasisi za kifedha zitakuwa na ukwasi wa kutosha, riba za mikopo yetu zitapungua kwa kiasi kikubwa Sana,
@leojosur@IAMartin_ Dhahabu tuliyonayo inaweza kabisa kubadilisha thamani ya pesa yetu kwa viwango ambavyo hujawahi kufikiri inawezekana. Kuna sheria na sera ambazo kama tukizibadilisha tutaweza kuifanya Tanzania kuwa kituo kikubwa cha ununuzi wa dhahabu Afrika yote.
Tunahitaji utayari na uthubutu.
@leojosur@IAMartin_ Kaka sijapinga hisani ila hisani isiwe mtego, mwiba au fimbo ya kumchapa yule unayempa hisani! Tukiamua kwa dhati na kudhamiria ndani ya mioyo, huku tukimtanguliza Mungu mbele, tunaweza kabisa kujitegemea kama nchi bila kuhitaji hisani! Utajiri tulionao unatosha kabisa kutubeba.
@leojosur@IAMartin_ Kaka ukiwa umepotea njia na kwenda umbali mrefu mara baada ya kugundua kwamba umepotea, hakuna aibu, unageuza na kurudi katika ule uelekeo sahihi wa ulipokuwa unaenda. Tubadilike kama jamii! Hisani nyingi zimekuwa zikitumika kama Silaha dhidi ya utu, tamaduni na afya zetu!
@kavishe_grace @IAMartin_@leojosur Umewahi kufanya au kusoma utafiti kuhusu chanzo fibroids kwa wanawake wengi wa kiafrika ndani na nje ya Afrika!? Kama bado, jaribu kutafiti halafu utagundua hisani nyingi ni chambo!
@IAMartin_@leojosur Kaka futilia ajenda nyuma ya watengenezaji na wadhamini wa bidhaa za GMO duniani, utaelewa misaada ya namna hii Mingi Ina walakini na haipaswi kuchukuliwa poa! Hisani nyingi ni chambo, nchi za Afrika zinapaswa kuamka kutoka kwenye huu ulevi wa kupapatikia hizi hisani.
@TanzaniaDigest@swahilitimes Fanya uchunguzi wa chanzo cha kansa kwenye maeneo mengi duniani. Yametokana shughuli za kibinadamu zilizoundwa mahususi kwa ajili ya kusabibisha hilo litokee, ili kupata kipato na uthibiti wa kibiashara upande wa pharma care. Saratani ni matokeo ya ukatili wa binadamu kwa wengine