Former President for Life,Field Marshal Al Hadji,Dr. Iddi Amin,VC,DSO,MC,CBE,Lord of all Beasts of Earth & Fishes of Sea & Conqueror of British Empire in Africa
@Thommunkondya waTanganyika hawataki serilali ya umoja wa kitaifa. Tunachotaka @ccm_tanzania ishinde kihalali (of which is impossible under conteporary situation) iongoze serikali yenyewe, Au chama chochote kishinde kihalali kiongoze serikali. HATUWEZI kushirikiana na Shetani (Ccm) kutawala.
Huu mradi wa SGR kadogosa lazima atakuja kutupa majibu mazuri.
Tuliambiwa Haya madubwasha yake yana POWER BANK ila kila siku ukikatika umeme na yenyewe safari zimeishia hapo.
KADOGOSA JIANDAE KUTUPA MAJIBU.
Message za kutisha zinazidi kuja Dm.
@jmkikwete do the needful you greedy evil man. Unaangamiza nchi for personal gain????? Samia has no major power kwenye system ya usalamaTZ, especially bara, wewe ndio una drive nchi kuingia kwenye laana ya machafuka kwa manufaa yako na familia yako.
Watanzania hawajahi kufika sehemu wanawaza vitu kama hivi. Wanachodai ni haki.
Wananchi wasikilizwe kabla nchi haijafika point of no return
Alert: Americans au Ubalozi wa Marekani, @USembassyTZ, @StateDept, mna wateja wawili hapa; Rostam Aziz na Abdul, mtoto wa Rais, chunguzeni uhusiano wao na Kampuni ya Mantra na Iran. Na safari ya Urusi. Hatutaongea mengi, ila hizi taarifa tumezipokea toka Ikulu.
Uhusiano wa Kitaasisi, Siasa za Urithi wa Madaraka, Ufisadi , Changamoto za Kiutawala na Usaliti kwa Umma Ndani ya KKKT
1. Mkakati wa Kisiasa na Harakati za Urithi wa Kiti cha Urais
Mwigulu Nchemba anajinasibu kufanya juhudi kubwa ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa kutumia ushawishi wa kifedha na mahusiano yake bandia aliyojenga na maaskofu wa KKKT hasa Malasusa, Shoo na Mbilu. Lengo ni kuaminisha maaskofu wengin ndani ya KKKT kuwa taasisi hiyo sasa inaelekea kupata Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama ilivyowahi kutokea kwa madhehebu mengine.
Mwigulu anadai kuwa yeye ni chaguo la Samia Suluhu Hassan, na kwamba Samia ameshafanya mazungumzo ya kina na Askofu Mkuu Malasusa kuhusu namna KKKT inavyoweza kuwa mshirika wake wa kimkakati kuelekea 2030. Kupitia ushirika huo, maaskofu wanatarajiwa kunufaika kiuchumi kupitia utatuzi wa masuala yao ya kifedha na usimamizi wa madeni yanayowakabili na yanayokabiri baadhi ya taasisi ndani ya KKKT.
Hivi sasa, kampeni hizo zimeanza kushika kasi ndani ya kanisa katika ngazi ya maaskofu. Mtandao mkuu unaoratibu mkakati huu unajumuisha viongozi wafuatao:
•Askofu Shoo
•Askofu Mbilu
•Askofu Malasusa
Ushawishi huo umeshafika mbali, ambapo takriban asilimia 80 ya maaskofu wa KKKT wanadaiwa kuwekwa sawa. Baadhi yao wamepewa fedha, wengine wamepewa ahadi mbalimbali, na wengi wao wamepatiwa mawasiliano ya simu ya moja kwa moja ya Mwigulu ili kupata utatuzi wa haraka wa matatizo yao binafsi, kifedha, kibiashara, ya kifamilia, na ya marafiki zao. Hali hii imesababisha maaskofu wengi kulainika kutokana na huduma hizo za haraka.
2. Mdororo wa Kiuchumi na Migogoro ya Kiutawala: Kesi ya Askofu Mbilu
Askofu Mbilu anatajwa kuingia kwenye mkakati huu kutokana na mazingira maalum yanayomkabili ya madeni makubwa binafsi na ya kanda yake, hususan chuo kikuu cha kanda hiyo kinachodaiwa mabilioni ya fedha. Madeni haya yalianza tangu wakati wa Askofu Munga. Hata hivyo, wakati wa mchakato wa kumwondoa Askofu Munga, Askofu Mbilu na Askofu Shoo wanadaiwa kusababisha uendeshaji mbovu uliorundika madeni makubwa zaidi ya chuo, uchaguzi wa kikanda uliumiza vibaya sana chuo na uongozi wake.
Muktadha wa mgogoro huu una historia ifuatayo:
•Kipindi cha Utawala wa Magufuli: Serikali ilikuwa ikimshughulikia Askofu Munga kutokana na misimamo yake ya kukosoa na kukataa ushirika wa karibu na utawala huo. Wakati huo, Askofu Mbilu aliahidiwa kupigania kupata cheo cha uaskofu wa kanda, kuwezeshwa kifedha na kuwa deni la chuo lingewekwa sawa.
•Ushirikiano wa Kiidara: Askofu Shoo akiwa Askofu mkuu wa KKKT wakati huo na Askofu Mbilu walikuwa kwenye timu iliyoshirikiana na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kumkomoa Askofu Munga, ambaye hatimaye alishindwa nguvu, akaondolewa, na kufariki dunia baada ya muda. Munga wakati wa uhai wake wakati anafanyiwa fujo nyingi alijaribu kutumia sheria za nchi na kanisa vyote havikufanyakazi
•Magenge ya kiharifu kwenye chaguzi za kanisa: Wakati wa mchakato wa kugombea uongozi kati ya Mbilu na Munga, magenge ya Mbilu na Shoo yalifanya fujo na uhalifu dhidi ya Munga. lakini, Jeshi la Polisi lilimnyima Munga ushirikiano wa kufungua kesi kwa sababu walikuwa na uelewa kuwa serikali ya Magufuli ilikuwa na mpango wa kumwondoa na kuweka Mbilu.
Hivi sasa, deni la chuo limegeuka kuwa chanzo cha manufaa ya kiuchumi kwa Askofu Mbilu. Amekuwa akichukua fedha nyingi kutoka kwa wanasiasa, maafisa wa TISS, na watu maarufu kwa madai ya kwenda kulipa deni hilo, lakini anazitumia kwa manufaa binafsi huku akitumia TISS kupoza shinikizo la wadai. Ili kutatua deni la shilingi Bilioni 7 ambalo wadai wanataka kuchukua hatua, Mwigulu anatarajiwa kwenda Lushoto hivi karibuni kuendesha harambee kubwa kusaka fedha kumwokoa Mbilu ambaye ni mdau wake kwenye suala la urais wa Mwigulu.
3. Diplomasia ya UCHAWA Kimataifa na Kazi Maalum ya Kusafisha Taswira ya Serikali ya Samia
Majukumu Maalum ya Askofu Mbilu: Kutokana na madeni makubwa binafsi yanayomkabili, Askofu Mbilu amekubali kupewa kazi ya kusafisha taswira ya serikali ya Samia kimataifa kuhusu tuhuma za mauaji ya tarehe 29 Oktoba. Hana namna nyingine ya kuhudumia madeni yake bila msaada wa serikali na TISS.
Askofu Mbilu aliingia kwenye madeni haya binafsi baada ya kupewa dili la maridhiano ya kisiasa akiahidiwa malipo makubwa. Mpango huu ulikuwa ule uliotajwa na Humphrey Polepole kuwa ungehusisha wazee wakiongozwa na Butiku kujaribu kuongelea maridhiano baada ya uchaguzi. Baada ya Butiku kukataliwa na kupigwa vita na umma, upepo ulibadilishwa na sasa wanataka kuupitishia mpango huo TCD na kupitia vyama shikizi kwa msaada wa wadau kutoka Afrika Kusini.
Kutokana na kuyumba kwa mpango huo wa maridhiano wakati ukiwa jikoni, Askofu Mbilu alipewa kazi mbadala ya kwenda Ujerumani na nchi za Ulaya kuisafisha serikali ya Rais Samia.
Katika safari hizo:
1.Anasafiri na familia yake pamoja na wanawake au mabinti wasiojulikana majukumu yao, ambao wanafanikiwa kupata viza kirahisi.
2.Gharama za safari hazilipwi na KKKT, bali zinasimamiwa kwa siri kubwa na mfumo wa serikali chini ya uratibu wa karibu wa Mwigulu Nchemba.
3.Kazi yake kubwa huko nje ni kulichafua Kanisa Katoliki pamoja na Tundu Lissu akiwatuhumu wanaleta machafuko na kwamba Samia ni mtu mzuri sana, Hii ni kwa sababu hofu kuu ya Mwigulu kisiasa ni Lissu pamoja na unyoofu wa maaskofu wa Katoliki wanaosimamia misingi ya haki na uwajibikaji.
Mwigulu alijaribu kuwapindisha maaskofu wa Katoliki lakini waligoma na kusimamia msimamo wao; jambo hili linamtisha Mwigulu kwa sababu bila ushawishi Samia na yeye ndani ya KKKT hawana karata nyingine tena, hawezi kupambana kisiasa ndani ya CCM au kwenye uchaguzi mkuu wa haki.
4. Athari za Mkakati Huu kwa Harakati za Uwajibikaji na Haki za Kitaifa
Ushirikiano huu kati ya wanasiasa na viongozi hawa wa KKKT unatajwa kujaribu kurudisha nyuma na kuchelewesha michakato ya uwajibikaji, upatikanaji wa Katiba Mpya, na harakati za Tanganyika kupata haki juu ya vifo vinavyodaiwa kusababishwa na serikali.
Mbinu zinazotumiwa kusafisha taswira hiyo zimeainishwa katika jedwali kwenye picha nitakayo bandika kwenye hii post ( cheki jedwali)
JEDWALI
Kupitia mtandao huu ndani ya KKKT, viongozi wa serikali wanajisafisha na matukio yafuatayo:
•Shambulio dhidi ya Padre Kitima, ambapo serikali imekataa kabisa kufanya uchunguzi wa tukio hilo.
•Matukio ya kutekwa na kushambuliwa kwa mapadre nchini.
•Matukio yaliyomfika Askofu Gwajima na waumini wake wa Kanisa la Ufufuo na Uzima.
•Kauli za kigaidi zinazotolewa na watu wanaojita masheikh, zinazoashiria wana makundi ya kigaidi kushambulia watu ( kuwakata vichwa, kula vichwa) kupitia kundi la mbwa mwitu, masheikh hawa fake wako chini ya uratibu wa wakuu wa mikoa, CCM , Mtoto wa Samia Abdul na Jeshi la Polisi
•Kujaribu kukwepa au kufuta kauli za Samia ambazo alitoa dhidi ya maaskofu wa TEC na kanisa kuhusu nyaraka zake, akiingilia huru wa TEC na kanisa katoliki
•Kujaribu kufuta kauli za Samia kwamba anashambuliwa sababu ya uzanzibar, uislamu wake na jinsia yake
Hitimisho
Urais anaoupigania Mwigulu Nchemba una lengo kuu la kulinda genge lote la Samia, kufukia ufisadi wote uliofanyika wakati akiwa waziri wa fedha kupitia deni la Taifa na malipo ya kesi tulizoshitakiwa kimaita, na kufunika deni la taifa linalokua kwa kasi ya ajabu chini ya usimamizi wake, pamoja na kufunika matukio ya ukatili na vifo akiwa waziri mambo ya ndani. Timu ya maaskofu wa KKKT (Mbilu, Shoo, na Malasusa) wanapambana kufunika vifo hivi kwa maslahi yao binafsi ya kifedha na ahadi za shukrani kubwa kutoka kwa serikali ya sasa na ile ijayo ya Mwigulu, huku wakisingizia kanisa.
Kama Rais Samia angekuwa kiongozi bora asiye na madoa, mradi huu ndani ya KKKT usingekuwepo; huu ni mradi unaohusisha damu uliopakwa kwa kanisa la KKKT. Usipokuwepo umakini dhidi ya maaskofu hawa walafi, juhudi zote za kujenga Tanzania mpya yenye uwajibikaji na misingi bora ya utawala kupitia Katiba Mpya zitaharibika na kurudishwa nyuma.
Kwa kuwa Askofu Mbilu ameonekana kinara kwenye kusafisha damu za watanzania, na kwa sababu familia yake imeonekana kwenye safari zake, basi ni wakati waambiwe na wajue ukweli kwamba wako kwenye project ya kujipaka damu kama familia waongea na baba yao kuacha mara moja,
Unaweza wasiliana na familia ya Mbilu
Jackson Mbilu +255623745335 au. +63 945 144 5257
Joseph Mbilu +255 629 556 651
Na kuelewa wamweleze baba yao akae mbali na damu za Watanzania aendelee na shughuli yake ya kiroho bila tamaa ya fedha maana zinachangia kumweka kwenye kitanzi cha asali
Kwa wanaoamini wanaweza msaidia kuhusu uchafu alioingia anapatikana kwenye namba hii Askofu Msafiri Mbilu +255 68 942 6133
‼️ALERT ‼️
Huyu kwenye hii clip ni Sheikh Ubwabwa, Mwaipopo akiwa kituo cha Polisi Shauri Moyo Nairobi hii ilikuwa Mwaka 2022
Mwaipopo alipowaomba pesa Watanzania (Waislam) ambao wanaishi Oman aliwambia anaomba pesa kwa ajili ya kulipa Mawakili na kuhonga Polisi wa Kenya ili wamwachie huru, sasa alipoona ni kama watu wa Oman wamemshtukia ikabidi arekodi hii video na kuwatumia Watanzania walioko Oman ili wamuamini.
Hapa alikuwa bado hajajua kama wenzake washajua kwamba kesi yake sio ya Ugaidi na yeye alikuwa amekomaa kusema anatuhumiwa kujihusisha na Ugaidi kwasababu ya dini, wakati ukweli ni kwamba ilikuwa ni kesi ya utapeli wa fedha na wenzake walikuwa shajua.😂😂😂😂
Mwisho wa siku alivoona watu wote wamempotezea ilibidi atafute njia alirudishe pesa zote alizotapeli watu ndo akaachiwa.
Imagine huyu Tapeli ndo Nduli Idd Amin Mama anamtumia kutukana, kutisha na kushambulia wakosoaji wake.🚮
‼️HUYU NDO SHEIKH MWAIPOPO AMBAE NDULI IDD AMIN MAMA ANAMTUMIA KUSHAMBULIA NA KUTISHIA WAKOSOAJI WAKE‼️
Serikali haram ya Nduli Idd Amin inamlipa huyu tapeli Sheikh Mwaipopo mamilioni ya pesa ili ashambulie na kutishia Viongozi wa dinj (Wakristo hasa Roman Catholic) Wakosoaji wa Nduli Idd Amin Mama pamoja na Viongozi wa CHADEMA.
Huyu Mwaipopo ambae wanamtumia ni mtu mwenye historia ya ujambazi na utapeli kwa miaka mingi ndo maana ilikuwa rahisi kwake kukubali kutumika kufanya haya maujinga ambayo anafanya.
Mwaka 2022 huyu Sheikh Mwaipopo alikamatwa nchini Kenya kwasababu ya tuhuma za utapeli kwa kujifanya ni mtaalam wa kusomea watu visomo, ushaidi sikiliza hii clip ambayo nimeambatanisha kwenye post hii.
Iko hivi, Mwaipopo alikuwa akizunguka na Sheikh Sharifa majini kwenye issue za Sharifu kutoa tiba na kusomea watu visomo badae wakazinguana so na yeye akaanza kujifanya ni mtaalum wa kutoa tiba za kusaidia watu ambao wanasumbuliwa na majini hapo ndipo alikutana na wanawake watatu kutoka nchini Kenya ambao walikuwa wakihitaji tiba, akawambia wampatie pesa za Kenya shilingi milioni 1.3 ili awaze kuwasaidia.
Hao wadada kwasababu waliamini kwamba Mwaipopo ni Sheikh kweli wakatuma hiyo pesa yote baada ya kutuma Mwaipopo aliwablock, hao wadada walienda kureport kituo cha Polisi Shauri moyo Nairobi ambapo kwa kushirikiana na Polisi waliweka mtego, walitafuta namba nyingine, wakampigia Mwaipopo na kujitambulisha kwa majina mengine, wakamwambia wanahitaji matibabu.
Mwaipopo alivokilaza akajua hela hii hapa, akamwambia huyo dada atume hela ili atibiwe, yule Dada akamwambia aende Nairobi then baada ya matibabu atapewa hela yote anayotaka basi wakamkatia tiketi ya ndege then akaanza safari alivotua tu Uwanja wa Jomo Kenyatta akakamatwa na Polisi kisha akapelekwa kituo cha Polisi cha Shauri moyo.
Akiwa kituo cha Polisi alituma ujumbe kwa Viongozi wa BAKWATA akiwajulisha kwamba amekamatwa Airport na Polisi wa Kenya wale wa ANT TERRORIST, akatuma ujumbe mwingine kwa Watanzania waliopo Oman ili wamchangie pesa ili aweze kuachiwa.
Viongozi wa BAKWATA walituma wa 🇹🇿 Waislam waliopo Kenya ili waende kituo cha Polisi Shauri moyo, walipofika na kupewa file la kesi yake ndo wakagundua kwamba halihusiani na mambo ya UGAIDI kama alivosema Mwaipopo bali ni makosa ya Utapeli wa fedha wakati huo Watanzania (Waislam waishio Oman) walikuwa tayari washamtukia wakatoa hili tangazo mnaloliona hapo kwenye frame no.2 kuwataka watu wasiendelee kumchangia pesa.
Mwisho wa siku, Polisi wa Kenya walikomaa nae mpaka aliliba pesa zote alizowatapeli Wadada watatu wa Kenya ndipo akaachiwa huru.
Huyu Mwaipopo akiwa anaongea huko kwenye Mihadhara anasema kwamba yeye alikuwa Mchungaji sasa muulizeni alikuwa mchungaji wa Kanisa lipi? Hilo kanisa lipo wapi? Aonyeshe picha hata moja tu akiwa madhabahuni anahuburi?
Halafu si anasema yeye ni Sheikh mwambieni asimame hadharani atusomee alhamdu kwa ufasaha kama kweli yeye ni Sheikh?
Mwaka 2002 alienda Bujumbura Burundi, alifanya mihadhara ya kiislam badae alikutana na Mtanzania mwenzake akamwambia kuna Kanisa linamchungaji wa Kibongo hapo Bujumbura anasaidia sana Watanzania, Mwaipopo aliposikia tu kwamba jamaa anasaidia sana, akaona hiyo ni fursa akaenda kwenye hilo kanisa akaomba msaada wa pesa, baada ya kupewa msaada akasema ameamua kurudi kwenye ukristo, akabatizwa kwa mara nyingine.
Waislam ambao walimpokea Bujumbura walipo pata taarifa walikasirika sana, walitaka kumtembezea kichapo maana waligundua ni mtu tapeli, Mwaipopo alikimbia Burundi na kurudi Tanzania, sasa kama akisema nasema uwongo mwambieni mimi niko tayari kumlipia Tiketi ya ndege ili aende Bujumbura, Burundi akafanye mihadhara.😂😂😂
Namba yake ya simu ni hii hapa
+255 756 361 906
Watanganyika wamechafukwa. Hivi vipeperushi vinazambwa kama karanga Dar. Na Hii imewekwa kwenye Ukuta wa Polisi Kawe. Polisi wanaziondoa lakini wanashindwa. Ni mengi mno. Tarehe 7/7 Tanganyika inakombolewa.
‼️NDULI IDD AMIN AMEWAHONGA MAMILIONI YA PESA BAADHI YA VIONGOZI WA DINI‼️
Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imetoa mamilioni ya pesa za walipa kodi kwa baadhi ya Viongozi wa dini wenye njaa ili wamsaidie kukataza waumini wao kushiriki Maandamano ya 77.
Viongozi waliovuta mpunga wameambiwa kwamba kuanzia kesho kwenye ibada zao waseme sana kuhusu kulinda amani na kwamba waumini wao walinde amani kwa kutoshiriki Maandamano na kuanzia Jumatatu ijayo kuna Viongozi wa dini wameandaliwa press za kuponda maandamano na watakuja na script zile zile kwamba wanaohamasisha Maandamano wametumwa na Mabeberu kwasababu Mabeberu wanatuonea wivu.
So kuanzia kesho huko makanisani kwenu mkiona Viongozi wenu wa dini wameanza kuongelea maswala ya kulinda Amani, kuponda Maandamano na kuwatisha kwamba mkiandamana mtauwawa basi mjue ni miongoni mwa hao ambao fedha za damu za Watanganyika zimewafikia.
Jambo moja ambalo Viongozi wote wa dini wanapaswa kujua ni kwamba kitu pekee ambacho kinaweza kulinda AMANI ni HAKI, Mahali ambapo hakuna HAKI, amani haiwezi kuwepo, hata maandiko yanasema Mungu ni Mungu wa Haki.