Nimekua Dodoma kwa zaidi ya Siku 10 ,Pamoja na Mambo mengine nimeshiriki kikao muhimu cha Kamati tendaji Bavicha Taifa kwa siku 3
Mbele iko sawa sana.Good things are coming.
"My blood will nourish the tree that will bear the fruits of freedom. Tell my people that I love them. They must continue the fight, Aluta Continua".
Solomon Kalushi Mahlangu, South African activist (22), Before being hanged on April 6, 1979.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
"Damu yangu italisha mti utakaozaa matunda ya uhuru. Waambie watu wangu kwamba ninawapenda. Lazima waendelee na mapambano, Aluta Continua".
Solomon Kalushi Mahlangu, mwanaharakati wa Afrika Kusini (22), Kabla ya kunyongwa Aprili 6, 1979.
Katibu wa Kanda ya Pwani Mhe. @ntele_bh akizungumza kwenye uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya#FreeTunduLissu Jijini Dodoma.
Tuendelee Kuchangia Chama Chetu.
Changia
Mpesa
Namba: 0744446969
Jina: Chadema HQ
NMB
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Umati mkubwa wa wananchi kwenye Mkutano wa CHADEMA Dodoma ,eneo linaloaminika kuwa ngome ya watawala na Makao Makuu ya nchi — unatuma ujumbe mkubwa kuwa wananchi bado wanahitaji mabadiliko, haki na demokrasia ya kweli.
Siku ya Jana tumekua na Mkutano mkubwa sana wa Operesheni Katiba Mya #FreeTunduLissu Jijini Dodoma.
Dodoma wameitwa wakaitika,Wamekataa kuwa wateja wa mbogamboga period.!
Ukiangalia ile post ya Peter msigwa kurejea CHADEMA pale wanaofuarahishwa na urejeo wake ni wale watu wa CHADEMA haswa ambao tunawaamini kwenye haya mapambano.
90% ya watu wanaopinga urejeo wake MSIGWA na wengine kusema “akirudi awe mwanachama wa kawaida” ni wale wapenda haki wasio na vyeo wala kitu ndani ya CHADEMA zaidi ya kupenda harakati za MAPAMBANO.
Hii inakupa picha gani?
Watanzania sio WAJINGA-msigwa ni sehemu ya watu waliolifikisha TAIFA kwenye MO29. Matusi na kejeli alizotumia dhidi ya CHADEMA (TUMAINI LAO) kwenye majukwaa mbali mbali watu hawajayasahau.
Ndani ya CHADEMA kuna mengi ambayo yanaendelea SIRINI wao kwa wao wanayajua ila sio watanzania wote wanayajua. Ila kwa yale ambayo yanatoka duniani na wanayaona kama ya hawa WAKINA MSIGWA nafikiri mnaona majibu yake.
Kizazi hiki cha GEN-Z hakiwezi kuyumbishwa na SANAA ZENU za “siasa” mlizokuwa mnazifanya zama za GIZA. Na hawa GEN Z ukiwasikiliza na kusoma misimamo yao kiukweli kweli hawapo kwenye VYAMA wao wanaamini kupitia HAKI.
Sasa kama mnahisi hiki kizazi mtaweza kukiendesha mnavyotaka hilo sahauuni watu sio WAJINGA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Geita mjini kumefurika watu! 🔥
Mkutano wa CHADEMA katika Operesheni ya Katiba Mpya imeonyesha wazi nguvu ya wananchi wanaotaka mabadiliko ya kweli.
Sauti ya umma haiwezi kuzimwa! ✊
#FreeTunduLissu#KatibaMpya
Tulianzisha Vyama Vingi vya Siasa ili tushindane kwa Hoja. Kwa nini Mnawakamata washindani wenu na kuwabambikia Kesi za Uhaini?
Mwachieni Mhe Tundu Lissu.
ZIARA YA MWENYEKITI WA KANDA YA PWANI KATIKA JIMBO LA MBAGALA,
Jana tarehe 3 Mei 2026, Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Mhe. @ExMayorUbungo, akiambatana na viongozi mbalimbali wa ngazi ya Kanda na Mkoa wa Temeke, amefanya ziara ya kikazi katika Jimbo la Mbagala.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi: Mwenyekiti ameweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya Chama Jimbo la Mbagala. Jengo hilo hivi sasa lipo katika hatua za ujenzi, likiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha miundombinu ya Chama.
Ufunguzi wa Misingi: Aidha, Mwenyekiti amefungua rasmi msingi wa Chama katika Tawi la Mikwambe, lililopo Kata ya Toangoma. Hatua hii inalenga kuimarisha uhai wa Chama kuanzia ngazi ya chini kabisa.
Ziara hii ni sehemu ya mkakati endelevu wa Kanda ya Pwani kuhakikisha kuwa kila jimbo linakuwa na ofisi bora na ya kisasa. Uwepo wa ofisi hizi utasaidia:
1.Kuboresha mazingira ya kupanga mikakati ya ushindi.
2.Kutoa nafasi rasmi na tulivu kwa ajili ya kutekeleza shughuli za kila siku za Chama.
Chama Imara, Ofisi Bora kwa Maendeleo ya Jimbo.