"ROBBERY" UJAMBAZI "Ep1⌚💵"
Chumba cha siri nyuma ya karakana iliyotelekezwa kilijaa hewa nzito ya hali ya hatari na matarajio. Mwangaza wa bulb moja dhaifu ulitosha tu kufichua uso wa ramani kubwa iliyokuwa imewekwa ukutani, ikizongwa na michoro, maandishi ya kiufundi,
akili zao zikishughulika na mpango waliokuwa nao.
Mpango ulikuwa umeanza rasmi. Njama iliyojaa akili ya hali ya juu na hatari kubwa ilikuwa imekaribia kufikia hatua yake ya utekelezaji.
Itaendelea.,.........
"ROBBERY" UJAMBAZI "Ep1⌚💵"
Chumba cha siri nyuma ya karakana iliyotelekezwa kilijaa hewa nzito ya hali ya hatari na matarajio. Mwangaza wa bulb moja dhaifu ulitosha tu kufichua uso wa ramani kubwa iliyokuwa imewekwa ukutani, ikizongwa na michoro, maandishi ya kiufundi,
Hatutakuwa tu wezi; tutakuwa historia. Kila hatua lazima iwe sahihi. Dunia itakumbuka uvamizi huu."
Kwa maneno haya, giza la chumba kilijaa azimio. Hakuna aliyesema chochote zaidi. Kila mmoja alitoka taratibu kuelekea kwenye chumba chake, mioyo yao ikipiga kwa nguvu,