Dagaa hamna wavuvi wanaleta dagaa ndogo ndogo ukikaanga zinakuwa unga🥹
Nasikia kichwa kinazunguka hapa nivumilieni nijaribu kukaangia Musoma
Ofa ya vibambala Dar naendelea kukusanya hadi kesho asubuhi endeleeni kulipia tu wapendwa wangu
Lipa Voda TricyDagaa 54577342
15k each
Good morning my love
Serving pots 3pcs
Tsh 50,000
Unaweka futari, rosti, wali, mboga mboga, kande n.k
0755 693 113
📍 Riverside karibu na Micasa Lounge, Mikoa yote
@MiriamMkanaka@YcuL___