#AmmyUpdates🧠
"Nina mchezaji kama 'Dube' na 'Mzize' wananipa vingi huenda kuliko 'Baleke', hakuna anayewafahamu hawa wachezaji kuliko sisi benchi la Ufundi kwakuwa tupo nao nyakati zote” -
🗣️ Miguel Gamondi, Kocha wa Yanga SC
#AmmyUpdates | #AmmyReporter | #AmmyTechnician
#AmmyUpdates🧠
🔔JUST IN: Christian Ronaldo anatokea benchi na kwenda kufunga goli la ushindi kwenye mchezo wa Portugal dhidi ya Scotland na kufikisha jumla ya magoli 901 sasa.. simply the GOAT🐐
(🇵🇹)PORTUGAL 2️⃣-1️⃣ SCOTLAND (🇨🇺)
#Ammyreporter | WhenImaginationComesToReality😀
#AmmyUpdates
Azam wapo katika hatua ya mwisho ya kuachana na kocha Yousouph Dabo pamoja na wasidizi wake wa tano kutoka mataifa mbalimbali kufuatia mwenendo usioridhisha wa klabu kwenye michezo ya hivi karibuni.
#AmmyReporter | #AmmyUpdates | #Amygrafix | #Ammymation