HRM || Empowering minds to rise || I believe in ethical leadership, sports, good morals, discipline and history || Every tweet brings positive changes.
๐จ๐จMaisha ni fumbo....usimbague wala kumtenga mtoto hata kama si wako maana hujui kesho atakuja kuwa nani! Huenda akaja kuwa msaada kwako au kwa kizazi chako ukiwa haupo duniani
#LucasUPDATSE
"Unanishauri mimi we unanini kwenye maisha yako? una level gani ya elimu? na benki yako ina shilingi ngapi?"
"Mimi kujibishana na masikini siwezi, wewe unanipima mimi chakujibu, mimi ni Mtanzania niliyeokoka ninampenda Yesu na nina hela, kwakuwa una dharau muujiza wa gesi.
๐จ๐จ Benjamin ล eลกko atasafiri mara moja kuelekea Manchester. HAKUNA MPANGO WA KUSUBIRI!
Atakuwa tayari yupo Manchester muda wowote kuanzia sasa. #LucasAmonUPDATES
Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA kimemtangaza Salum Mwalim Juma kuwa Mgombea wao wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
๐จ๐จChelsea wanaamini kuwa Xavi Simons na Alejandro Garnacho ni MALENGO MAKUU katika siku chache zijazo. The Blues wanataka wachezaji WOTE wawili kwa nguvu kubwa.
#LucasAmonUPDATES
๐จ๐จ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐: Baada ya Guiu na Broja, sasa Raheem Sterling naye ataondoka Chelsea msimu huu wa joto.
#LucasAmonUPDATES