@PresenterNoah Mlimani city pale shoppers ukinunua bidhaa mfuko unalipia otherwise utabeba bidhaa kwenye shati, na watu husikii kulalamika๐๐๐๐
@chapo255 Kwa hivi vifurushi vya nhif dozi ya amoxyclav siku saba wananunua 6000 biashara ngumu sana huyo, na Bado wanakukata sana ...ukitegemea wagonjwa wa cash hospital utaifunga..hyo biashara changamoto sana
@mak_aura I discovered the walking dead with 11 season last year....It was hell to complete every episode but the show was top notch....I am gathering energy to watch the blacklist๐๐๐๐๐
@INFLUENCERjr Sasa mtu chemistry ulipata D utaelewaje breaking bad jamani.... Hujui hata hiyo Br na Ba Zina maana gan hlf unatร kร uelewe breaking bad...
Come on
@chapo255@MiriamMkanaka Ila mwanangu unapata demu nyama kilo Moja anapika yote Kwa pamoja na anaanza kula ikiwa jikoni, yaan Ile jikoni anaonja robo nzma oyaaa....mtu mbili kilo nzma Kila akipika ni msala...bajeti muhimu bhn
@queeen_minah Hujatukanwa Wala.....umeelekezwa tu....hzo standard unazotaka you can keep them on your yourself..... otherwise we have right to mind them.
@ze_mandevu Mm binafsi naona wengi wa ambaoa hawajasoma Wana maisha magumu zaidi....mfano classmate wangu....wachache sana hawajasoma wametoboa ila wengi hawana kitu, sema ni vile mtu Mmoja akisoma na asiwe na kitu anaonekana hamanazo kuliko watu kumi ambao hawajasoma na ni maskini.
@Abdullahsh99134@Chahali Sasa wanalinda wananchi gan kama wananchi wenyewe wameuliwa D29 wao wakiangalia, watu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani hlf unasema tuna jeshi la kulinda wananchi, Hilo ni jeshi la kulinda ccm tu hamna mtanzania ana Imani kwamba jeshi litamlimda Kwa sasa