Program ya Employability Bootcamp imewajenga vijana katika uandishi mzuri wa wasifu na mbinu za kufanya vizuri kwenye interviews.
#NiaminiNiajiri#AjiraNiDili
Bado kuna changamoto ya ajira na uzoefu wa sehemu za kazi, licha ya vijana kuwa na ujuzi bado nafasi za ajira ni chache, ndio maana Employability Bootcamp inashirikiana na mashirika mbali mbali kuwapa placement vijana wote walioshiriki program hii.
#NiaminiNiajiri#AjiraNiDili
Vijana hawa ni miongoni mwa vijana walioshiriki program ya Employability Bootcamp na kupata nafasi ya kujitolea katika maandalizi ya 16 Days of Activism yaliyoandaliwa na Shirika la WiLDAF Tanzania.
#NiaminiNiajiri#AjiraNiDili
Jinsi yakutumia PANDA DIGITAL SMS tuma neno “Sajili’’ kwenda namba 0767680463 kisha utapokea ujumbe mfupi ambapo utaweza kujaza taarifa zako ili kumaliza usajili. Na baada ya hapo utaweza kusoma kozi unazozipenda #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital@herinitiative
Tunaamini wasichana wana haki yakupata taarifa na ujuzi bila kujali hali au mazingira wanayotokea hivo kupitia mfumo wa PANDA DIGITAL SMS tunaamini tutawafikia wasichana wengi zaidi” Lydia Charles Moyo Mkurugenzi wa Her Initiative #jiongezekidigitali#ujuzibiladata
Kupitia jukwaa la panda digital la tovuti, Her Initiative ilijifunza kuwa kuna pengo la kidijitali kati ya wasichana na wavulana lakini pia kuna pengo kubwa baina ya wasichana wenyewe hasa waliopo mjini na vijijini. #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital
Jukwaa la Panda digital SMS ni mfumo mpya unaokuja kama muendelezo wa jukwaa la panda digital kupitia tovuti, wenye lengo la kuwapatia wasichana ujuzi utakao wasaidia kutengeneza kipato. #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital@herinitiative
Panda SMS offers a user-friendly method that does not require girls and young women to have smart phones or have access to internet connection in order to benefit from the course and access opportunities. #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital@herinitiative
Large numbers of girls and young women lack access to the internet and do not own smartphones, yet they have the right to acquire the skills and knowledge required for economic empowerment. #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital@herinitiative
Through the Panda Digital Website, Her Initiative observed that there is not only a gender digital divide between girls and boys, but also a significant digital divide among girls, particularly in urban and rural regions #jiongezekidigitali#ujuzibiladata@pandadigital
Kennedy Mmary @kennymmari Founder and CEO of @serengetibytes trained our youth on “Interview Techniques” through our Youth Volunteers Bootcamp as a commemoration for International Youth Day.
#youthvolunteersbootcamp#volunteerism
We are Seeking a qualified consultant to film a short documentary of FIKIA+project in Nyamagana district at Mwanza Region.
Deadline for sending out all applications is 7th September 2022,
For more information;
Email: [email protected]
Visit our website.
Yamebaki masaa 13 tu! dirisha la maombi ya Panda 2022 lifungwe, unasubiri nini!!? tuma maombi yako sasa kwa kubonyeza link. https://t.co/YSOZuLJv9s
Hakikiksha una share na marafiki fursa hii🔥🔥🔥
#mchongorasilimali#panda2022
Andaa macho kuona na masikio kusikia, Yes Her Initiative kupitia jukwaa la Panda Digital tumejiandaa kusimamisha shughuli zote TUNA JAMBO LETU ZITOOOOO🔥🔥🔥🤓
Endelea kufatilia kurasa zetu mambo ni 🔥🔥🔥
#jiongezekidigitali
Mapema leo Her initiative tumefanikiwa kufanya uzinduzi wa mfumo mpya ujulikanao Kama Panda digital SMS,
Mfumo huu unakuja Kama muendelezo wa Jukwaa la Panda digital,
#jiongezekidigitali#Ujuzibiladata