Hapo nyuma ulikuwa una hustle miezi mbili una save hununua memory card yako ya 2GB .
Unaenda cyber ujaziwe mix za Lyta, Kalonje Demakufu na singles za diamond at 5 bob.
Alafu unatafta morio wako akutumie ngwati.
Ukiweka kwa kadude ya mathe unaambiwa not supported,
Kumbe kalipata virus kakadedi.
The heartbreak was real.