O you who believe, be persistently standing firm for Allah as witnesses in justice, and do not let the hatred of a people prevent you from being just. Be just, for that is nearer to righteousness. Fear Allah, for Allah is aware of what you do.
Surat Al-Ma’idah 5:8
Tukapitishe leo Maji, Barabara, Afya, Mishahara ya wafanyakazi nk. Hoja yetu ya korosho tukutane kwenye Finance Bill, kesho na keshokutwa, tutaendelea kuipinga, bado naamini haina masilahi kwa wakulima wa korosho!
Watanzania naomba niwaelimishe kidogo Kuhusu mchakato wa Bajeti Bungeni ili muelewe vizuri
1) Waziri anasoma Bajeti na kuomba Fedha. Bunge likikataa Bajeti linavunjika na nchi inarudi kwenye uchaguzi kuanzia... https://t.co/bbpXJClpuK
Rais wa TLS Fatma Karume (Wa pili kushoto) amemtembelea kumjulia hali Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. @Tundulissutz hospitalini huko nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi Septemba 7 mwaka jana huko Dodoma.
@zittokabwe Warumi 13:1 - 5 iko sawa, ila inapaswa kusomwa sambamba na Matendo 5:29, Daniel 3:18, Methali 29:1-2. Kwamba kiongozi anapaswa kuheshimiwa anapotawala kwa haki; lakini anapoiacha HAKI, hupoteza ulinzi wa Mungu (kwa kuwa amemuasi Mungu) hupoteza heshima, na ufalme wake huangizwa
Tishio la Serikali kwa Kanisa la KKKT linapaswa kulaaniwa na kupingwa na kila Mtanzania. Kupambana na utawala dhalimu ni IBADA. Tukiruhusu KKKT kuingiliwa na Serikali hakuna atakayepona. #Resist
MAGUFULI HANA TOFAUTI NA KIKWETE, MKAPA KWENYE USIRI KUHUSU MADINI
Na Tundu AM Lissu (MB)
University Hospital Leuven at Gasthuisberg, Leuven, BELGIUM
Nimemsikia Waziri wa Sheria na Katiba, Dr. Palamagamba Kabudi... https://t.co/2PKF7XwSk1