@krisBangala Karia anahusikaje hapa Think big; Baada ya kupelekwa mechi Zanzibar sasa unataka kugeuza Mada iwe ya TFF. Akili ni nywele kila mmoja ana zake. Tanzania ni Namba 5 Afrika, KARIA 4 YRS AGAIN.
@mzeewauvinza@ahmed__ally Nadhani leo ni siku ya mwisho uamuzi wa kucheza Mkapa, kuanzia kesho Simba ijiandae na Amani; ukweli Simba kinachoibeba ni bench, moral na materials motivations na kipa siku hiyo hakuwa fiti; pia belief kwamba kwa Mkapa hatoki Mtu; sasa belief iwe POPOTE TUNABEBA ndo mpira huo
Kiungo Stephen Aziz Ki anajiunga na timu ya Wydad Casablanca kwa ajili ya kucheza mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu (FIFA Club World Cup) ambayo yataanza Juni 15, Wydad Casablanca wanaanza mazoezi kesho Mei 19 na mechi yao ya kwanza wanacheza dhidi ya Man City Juni 18.
Kila la kheri Master KI umefanya makubwa Sana kwenye Burudani ya Soka.
#KitengeSports
@Nassibmkomwa_ Unajua jina Duke linaitwaje kwa kiswahili soma bible Mwanzo 36:15
Swahili version; Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau,/
English version; These were dukes of the sons of Esau,
Duke or Jumbe in swahili
Duke Omari /Jumbe Omari
Duke Abuya/.....
@Oumar_bulla@YoungAfricansSC Pia Simba inaweza ikawa timu ya kwanza kushinda goli 3-0 ktk Cafcc final 2025 na kubeba trophy; ikirejewa kwamba Yanga ktk mashindano haya ilipokea kichapo cha 2-1 kutoka kwa USMA pale Ben mkapa 2023.
Hata ukiwa nyumbani ni vema umuheshimu mpinzani wako mfn wamepoteza vs constantine, Al masiry na RS bekane kwa kutoheshimu; afu beki za Simba zinakuwa titrated sana golini kiasi cha kumyumbisha golikipa mfn goli la pili golikipa afanye nini wkt beki aligusa Mpira ukamchanganya.
Camara anapaswa kupata changamoto anajisahau sana, huwa nawashangaa sana watu wanaotaka Manula aondoke, Ally Salim hawezi kumchalleng tunapaswa kumtubakiza Manula.
@fuad_fx_@BracuszCadabra Ndo maana siku hizi siwasikilizi
;kwa sababu unapotegemea upate positive assumptions wanakuletea risk assumptions nyingi ambazo ni hatari kwa project yetu( cafcc trophy), eti mara uwanja umehamishwa, hawajui simba walikuwa wamelenga nini kama wangeuza tickets zote 60,000.
@Eric__Bernard Upo sawa kabisa 100% CAF hawajaufunga uwanja wa Ben; serikali iliufunga ili kuufanyia ukarabati na ilipojiridhisha unakithi ilitoa kibali cha Mpira kupigwa.
@iddynonga_ Je wajua? Kwamba jina la Duke( English), kwa lugha ya kiswahili maana yake ni JUMBE.
Hivyo kwa kiswahili Duke Abuya anaweza kuwa JUMBE ABUYA
Reference book
Mwanzo 36:15.
@Eric__Bernard Baadaye itakuwa uadui wa jadi nadhani wauondoe kabisa hata ule utani wa jadi sababu siku hizi sio utani tena, mbona kuna visasi na kutaka kukomoana;FUTA UTANI WA JADI