#HABARI Meli ya kubeba ndege za kivita ya Marekani, USS George H.W. Bush, imewasili Phuket, Thailand, siku ya Jumapili, huku takriban wanajeshi 4,800 wa kikosi chake wakipewa mapumziko.
Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari, meli hiyo imekuwa ikishiriki katika operesheni za Marekani kwa miezi kadhaa, wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukizidi.
Reuters, ikinukuu vyombo vya habari vya eneo hilo, imeripoti kuwa meli hiyo itatia nanga katika maji ya pwani, huku wanajeshi wake wakitarajiwa kushuka na kutumia siku tano katika kisiwa hicho.
Ziara hiyo inakuja mwezi mmoja baada ya meli nyingine ya kubeba ndege za kivita ya Marekani, USS Abraham Lincoln, kutia nanga katika bandari ya Laem Chabang, ambako takriban wanajeshi 5,000 wa kikosi chake walipata muda wa mapumziko. #EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha
Mtoto wa Rais Museveni yaani Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni mkuu wa Majeshi ya Uganda ametangaza rasmi kumuunga mkono Rais Ruto kwenye uchaguzi wa Rais wa Kenya Mwaka 2027. Jambo hili limepokelewa kwa hisia na namna tofauti tofauti huko chini Kenya.
#MICHEZO: Timu ya Taifa ya England imeishushia kichapo cha fedhea Croatia nyumbani kwao wakiwatandika magoli 7-0 ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mataifa Barani Ulaya.
Hiki kinakuwa kichapo kizito kwa England kuwapiga wapinzani wao mwaka kuu 2026 baada ya kuwafunga Ufaransa kwa magoli 6-4 katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu katika kombe la dunia 2026.
@nickymeena_
#Michezo #Hainakuchoka #EastAfricaTV
Elon Musk amepata Tsh Trilioni 161 ndani ya siku moja na kufanya utajiri wake uwe USD Trilioni 1. Hii ni kufuatia thamani ya hisa za makampuni yake ya Tesla na SpaceX kuongezeka. Musk ni Trilionea pekee duniani na amemzidi tajiri namba 2 duniani kwa zaidi ya USD bilioni 600
Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori akipasha mwili joto kabla ya kuanza kukimbia katika 𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐌𝐀𝐑𝐀𝐓𝐇𝐎𝐍 𝟐𝟎𝟐𝟔.
Unaweza kuangalia LIVE kupitia Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #SimbaMarathon2026#NguvuMoja
A great time at F1 Malaysia! 🏎️
It was an honour to meet H.E. Mohammed Ben Sulayem, President of the Fédération Internationale de l’Automobile (FIA), the global governing body for motorsport, including Formula 1. It was also a pleasure to spend time with my good friend Mr. Fuad, Chairman of Pacific Interlink.
Fast cars, great company and an incredible #F1 #weekend!
Eneo la katikati kabisa mwa Tanzania ni Kijiji cha Sukumahela kilichopo Manyoni Mkoa wa Singida. Ukipima Kijografia kutoka pande zote za dunia, utagundua kuwa hapo ndipo katikati mwa Tanzania. Wakoloni Wajerumani waliweka alama ya Msalaba juu ya Mlima uliopo eneo hilo.