Being consistent over the years is essential for building a strong brand identity.
Consistency over time helps:
—> Create brand recognition
—> Build trust
—> Loyalty among consumers
—> Differentiate from competitors
Sasa Unazani ni sifa gani katika brand yako au biashara yako ndiyo kivutio kikuu cha mteja kuweza kuitafuta na kuifwata brand au biashara yako popote ilipo ?
Katika harakati zetu za kupata mahitaji mbalimbali , huwa tunajikuta mda mwingne tunaenda umbali mrefu sana kufwata huduma au product flaani hata kama zipo nyingne karibu .
Hii ni kutokana na sifa mbalimbali za hyo biashara au brand ambayo imetengeneza . inaeza kua ni
6: transparency (ni muwazi kuhusu brand yako )
7: solidaliity (mshikamano kama brand kuhusu wateja , brand ni kuhusu wao )
8: individuality / customization ( utoaji wa huduma kulingana na mteja eg toleo maaramu - limiting edition )
“why should I buy these very basic product/ service ?”
Moja ya maswali ya mteja kama biashara au brand unatakiwa uwe na majibu yake unapo anzisha biashara / brand
Umeanzisha biashara na ukaanza kutoa huduma kwa ubora unao amini utavutia wateja .
Mungu ni mwema ukapata mteja , akavutiwa na huduma, akawa anakuja mara kwa mara .
Sasa ikitokea umepunguza kitu kwenye utoaji wa huduma basi jua ndio mwanzo wa safari ya kumfukuza mteja
BRANDING VS MARKETING
Marketing Is the set of tools, processes, and strategies you use to actively promote your product, service, and company.
Branding is about defining who you are as a company. It’s your mission, your values, and what makes you special and unique
- Marketing gets a customer’s attention, branding is a way to keep their attention
- Marketing drives sales,branding drives recognition and loyalty
- Branding comes first,and marketing comes second
- Branding has just as much of an impact on your team as it does on your customers
JINA LA BIASHARA
Ni neno au maneno yanayotumiwa kutambulisha biashara fulani. Hii ni ile jina rasmi ambalo biashara hutumia kuwatambulisha wateja na umma kwa ujumla
JINA LA BRAND
ni neno, maneno, au kauli maalum inayotumiwa kutambulisha bidhaa, huduma, au biashara fulan
linatumika kuwakilisha chapa katika soko. Jina hili linaweza kujumuisha sifa za bidhaa au huduma, kumaanisha thamani ya chapa, au hata kuleta hisia fulani kwa watumiaj
Unafanya biashara na inaenda vzuri na unapata wateja , je unakumbuka kutengeneza na kuitunza brand?
biashara inaeza kushuka au kufa kabisa ikitokea changamoto yoyote jama vile ushindani,au mazingira, lakini brand hukaa kwa mteja kichwani,moyoni na uhishi ndani yake #brandyako
A strong brand identity is important because it helps to establish trust and recognition with consumers, differentiate a brand from its competitors, and create a sense of consistency across all touchpoints. By creating a cohesive and memorable brand
Brand identity refers to the visual, verbal, and experiential aspects that distinguish a brand from its competitors and create a unique impression in the minds of consumers. It is the combination of elements that represent a brand's personality, values, and beliefs.