@brayansilayo_@Thereal_taivina We umeamkia wapi ww yani hii nchi ipige maruku kamari alafu wao wale wapi sasa we unafatilia hata total revenue ya nchi yako inapatikanaje na ni sekta zipi na zipi zinachangia pato kubwa stop spitting non sense broo ….af inaonekana wewe X umefungua account kwa mihemko wewe😣
@Thereal_taivina Kwanza tu angetuambia hoa vijana wazalishe nini,
Wazalishie wapi na ni vijana wa kundi gani unaowaongelea wewe,we kama msomi sana mambo ya you know this ,
So next time usione tu ni post ya Taivana ukataka kueka comment ako apo uonekane mzee watu tuna machule uku af unaleta ufoo
@JinniMahaba@Roma_Mkatoliki Sasa huo ni uisilamu au ni lugha ya kiarabu katumia…angeandika maana ya hiyo sentensi kwasababu mtihani sitafanya kiswahili pengine hata ww usingejua kama katoa kwenye quran …
@ZagyGirl Mungu akutunze na akubariki....akupe afya ya roho na akili.. na mwili pia....ishi miaka ya notable dada angu....The love to the streets z unwavering 🥰
Game kama hii mara ya mwisho ilikata game 3 TU kuchukua Mil 90.
Nikarudia nilishinda Mil 12 ikaniuma nilicheza mwenyewe.
Narudia tena na Wana mtaani, nimefanya Kwa utulivu mkubwa zaid, Amin kuwa mwaka unaisha unajenga na gari unanunua inshaAllah 🙏
RETWEET