@babalao__ "Fifa WC without me i much worse watching, i'll qualify for my own and i'll dominate
Reporter " zlatan bt there's regualtion"
Him " regulation is for regular players iam zlatam" ๐
Ukiwa umeangalia kbs hii game bila wivu na roho mbaya utagundua leo lamine alkuw kila akishika mali kuna defenders zaid ya wawil wanamuangalia, hakuna clear 1v1 ambayo kakutana na nuno ambay unaweza sema lamine kashindwa kumpindua
Nuno alichofanikiw ni overlaps zake tu