@Geophreyfg@HildaNewton21 Kama mnaafikiana na uhuru wa kuongea mbona mnahangaika na wanajeshi barabarani mkisikia Maandamano? Acheni propaganda za kunujua watu. Huo sio uhuru wa kuongea bali ni siasa za maji taka za kununua watu
@earadiofm@GodiFalsafa Yaani mnaongea kama mmekatwa Vichwa... hata makampuni binafsi huwa kuna kujitathmini wenyewe ndani lakini ili kuondoa kujidanganya wenyewe huwa tunaita external consultants ili kuwa more Objective...
Mwanadamu anatabia ya kuukimbia ukweli mchungu