@nyuki_malkia Hao ni matapel.. Nshakutana nazo hzo km mara mbil hv.. Nkawwazungusha sana kila sku kuwaambia nawatumia kesho/baadae.. Mwsho nkawachana live.. Wakacheka sana.. tena na kiswahil wabakjua.. Atume hela wamfurahishe
@Pundit95@SimbaSCTanzania Simba ile ni full mkoko? Halafu kwan liverpool ndo anaweka sheria za kikos gan kicheze friend match? kocha hakuwa na timu pre season, anaenda kmataifa ultaka apange kikos gan?
@Fred_Yanga @SimbaSCTanzania Simba imeanza kuitwa TAIFA KUBWA enz hzo... Sema nyie mlioanza fuatlia mpra baada ya GSM kushka timu hakuna kitu mnajua zaid.