Hello everyone,
I’m from Quadralink Solutions Company Limited, a general supply company based in Tarime, Mara, Tanzania.
We are open for business in electrical equipment supply and ready for RFQs, partnerships, and supply opportunities.
Thank you
@iamNehemia Kuna mwanya mkubwa kwenye kitu tunaita siasa za makazini, kuna wanao peleka siasa makazini mbali na wengi wao wana madalaka, kitu kinapelekea vijana kuwapisha wafanye kazi kama wanavyo taka wao
@Jacquetorro Nguvu nyingi sana iwekwe kwenye elimu na emotional intelligence, kwanza kabisa wadada wajue watu wakiwa na hisia kali na hasira wanakua sio wao, pili wababa wajue hasira hasara.
@isdorykibasa@EsirEid Kuna namna tifauti ya kuishi maisha ya hapa duniani, moja ni kwa kuhisi kila linalo tokea ni njama dhidi yako, namna nyingine ni kwamba mambo hua yana tokea tu, and you are insignificant.
Mimi napingana na kauli ya kusema watu wana nufaika na mambo kua mabaya ndomana hawaboresh
@isdorykibasa@EsirEid Nazani ni kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati, ila sioni kama kuna watu wanashikiria ama wanakwamisha hatua hiyo, ninacho hisi ni nchi yetu bado inaendelea kwaio mawazo kama haya yaendelee kuwekwa mezani hatimae maamuzi yafanyike hatimae maendeleo thabiti .
@KennedyMmari Huyu jamaa ni kama vile ana artificial pressure hivi, sijui ndo hizo files za pedophilia ama kuna sababu nyingine lakini kwa namna ana kingana na maneno yake kila siku lazima kuna mahali anapokea maelezo.