@Sonko_tips Paripesa ukiwapiga parefu wanakuwekea limit ya kuwithdraw kwa siku hata laki....sasa una milion 60 laki laki utatoa mpaka lini😂😂😂.... tumien kampuni zenye office TZ hizo nyingine ni matapeli tuu..wakiongozwa na 1xbet na paripesa
@KennedyMmari Inawezekana kuna ukweli ndani yake...ila nina uhakika ronaldo huyo huyo wewe ni choko baridi tu kwake...kila mbabe na mbabe wake dunia ndio iko hivyo
@AbroadTanzania Wapelekeane moto tuuu...wapumbavu wote wawili......kama wanashindwa kukaa meza moja wakubliane kugawana hiyo ardhi basi wauwane mpaka waishe wote
@mchochezi24@nulphin@amazingzero11 Kenya serikali imetoa vibali kwa starlink kutoa huduma....bongo stalink hajapewa kibali walimtaka atengeneze kwanza office manzese ili tuweze kununua vifurushi kirahisi 😂😂.... sema kuwa na viongozi ambao wanamindset za mwaka 47 kinatucost big time