Miaka 19 Iliyopita niliwahi kusikia taarifa ya kifo cha mwanamke mmoja, aliyefahamika kwa jina la VIVIAN TILLYA.
Ya kwamba..
Mwanamke huyo amefariki kwa ajali ya gari.
Nikiwa nasikiliza taarifa hii, ndipo niliposikia jina la COMPLEX likitajwa👇
Build confidence in yourself
Work on your education, skills, appearance, and communication. Confident people are usually more successful in relationships and life.
Sote tunajua kauli ya mwisho ndani ya nyumba inatoka kwa baba, Hivyo kabla ya kwenda kuoa elewa hili. Kama familia unayokwenda kuoa baba mkwe hana final say, bali mama mkwe ndiye mwenye final say, Swala la mkeo kuja kutii utakacho kisema ndani ya nyumba sahau kabisa.